Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 816
- 514
CHATANDA ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI JIJINI ARUSHA
📅 01 Mei, 2024
📍Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC) ameungana na viongozi na wafanyakazi mbalimbali kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika leo Tarehe 01 Mei, 2024 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha ambapo Mgeni Rasmi ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Phillip isdor Mpango.
#UWTimara
#JeshiLaMama
#Kaziiendelee

Attachments
-
IMG-20240501-WA0055.jpg143.1 KB · Views: 1
-
IMG-20240501-WA0054.jpg137.9 KB · Views: 1
-
IMG-20240501-WA0053.jpg151.2 KB · Views: 1
-
IMG-20240501-WA0051.jpg138.7 KB · Views: 1
-
IMG-20240501-WA0050.jpg178.9 KB · Views: 1
-
IMG-20240501-WA0052.jpg176.2 KB · Views: 1
-
IMG-20240501-WA0048.jpg140.2 KB · Views: 1
-
IMG-20240501-WA0047.jpg157.8 KB · Views: 2
-
IMG-20240501-WA0049.jpg149 KB · Views: 1