Uwoya live, abarikiwe

Kwa wakaka na wale wanafunzi wahanga kule mabwenini, picha kama hii ni kitafunio tosha!!

Haya dada Irene mwaga radhi wakujue!
 
Ivi hapa watu mmeconcentrate kuangalia eneo gani hasa?

Mi nimependa kifua chake.
 
halafu mtu anajisifu kuwa ana mke.....dah.... ni bora kutokuoa kabisa kuliko uchafu huu unaofanywa wa kuonyesha maungo hadharani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom