Uwoya azimia mara nne

suri

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
404
260
Wana JF
Irene Uwoya alikuwa akizimia kila akizunduka mpaka kuzua maswali na mshangao kwa waombolezaji walio kuwa wakiomboleza ana kwa ana na wengine waliokuwa wakifuatilia kwenye runinga.Angalau Wema Sepetu zimia yake inaeleweka kwamba alikuwa anajigi jigi na marehemu.Hebu niambie we ungekuwa mume wa IU ungeichukuliaje hii hali?
 
Rohoya huruma ya akina mama si unaifahamu. Halafu mie bahati mbaya sana movie za bongo sina upepo nazo. Nafikiri pamoja na kuwa na roho ya kike Irene atakuwa alishiriki movie nyingi na Steven. Au siyo magwij wa Bongo movie?
 
Huenda alishapitiwa,huoni wema anasema walikua wanaendelea kisirisiri

hahaha,Wema mwezi mchanga yule,anasahau haraka kama ngiri.Ngiri akikimbizwa na simba akakutana kichaka tu anaanza kula nyasi anajisahau kuwa adui yupo nyuma
 
Irene Uwoya mnafiki tu, kama angekuwa na uchungu sana asingewachukua wasanii wa kike rundo juzi waliokuwa msibani na kwenda kuselebuka nao usiku kucha kwenye ubatizo wa mwanae
 
Huyu Uwoya nae matatizo tu na mi sishangai kwani ye si ndiye alizaa mtoto blacki akamwita Krish....eti jina la movie.
 
Yan unashika mkia wa mbuzi afu unauliza ananyea kwa wapi? Googie uone mshikaji alivyokua anayabambie mapaja yake behind the snene.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom