Elections 2010 UWIZI WA CCM HUU HAPA. WALIOJIANDIKISHA 20 MIL, JK kapata 5 MIL kawa Rais...!!!???

Ni kweli turnout mwaka huu ilikuwa kubwa sana pamoja na kuiba inadhihirisha yaliyosemwa kura za slaa zilikuwa zinapunguzwa.Ni kitu kisichoingia akilini hata ukifanya uchunguzi kwenye mazingira unayoishi raia wengi wanalalamikia wizi na kutokuwa na imani ya matokeo.Sasa kama wameiba wakiwa na lengo la kufikisha 81pc lakini ndio ikafika 61 ni dhahiri Dr ameshinda na sie wanamapinduzi wa kweli kwenye mioyo yetu itasomeka rais wa kuteuliwa ni Dr na sio huyu dhalimu

haswaaa,Hawa wanaojita wanamtandao nahs hawajui nn maana ya democracy, wænðe walkoambiwa waweke vyama vng il wapewe misada wawafndshe jns ya kuiendesha siasa ya vyama vng.
 
Back
Top Bottom