Uwezo wa Mwenyekiti wa chipukizi wa CCM Taifa kujieleza ni mkubwa kuwashinda vijana wengi wa CHADEMA

Peleka ujinga huko chawa mchafu wewe. Utakufa kifo kibaya sana kwa kuuza watanzania wenzio wakiwemo mama zako kwa shs elfu 20.

Mattttercore wewe qumer
 
Huyo mtt amekekaririshwa hakuna anachojua,siasa za ccm hazi saidii nchi yetu,sana sana ni kutengeneza majizi ya kupora rasilimali zetu,na majizi kuja kulindana..
Kwa kinachoitwa ccm chipukizi kwangu mm naona ni watu kutafutia watoto wao maisha.. Na kuja kulinda maslah ya familia zao,badala wazazi wakazane kuwapa watoto wako ujuzi na maarifa yakupambana wanaona wawapeleke kwenye siasa, Maana kwa sasa siasa za ccm si tena za kuitetea nchi bali ni kujijazia matumbo yao..
Ccm sio tena chama cha siasa ni sehem ya watu kutafuta msisha na namna ya kuiba ..
Ccm hii ni kiongozi gani amekua upande wa wananchi?
Bungeni kote wamewekana kulinda maslah yao na familia zao..
Kwa kuuliza tu bunge letu la Tanzania lina kazi gani,?
Zaidi ya kubariki kila linaloletwa mezani pao..
Uongozi/hutoka kwa Mungu..
Uongozi ni karama na kipawa.. Hao chipukizi wote nilio waona ni watoto wa wakubwa na watu mashuhuri,hii haileti taswira nzur kwa mustakabali wa nchi yetu...
 
Tangu chief mwashambwa wa mbozi afariki, ni kama aliacha laana kwenye ukoo wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom