Uwezo wa mtu akiwa University na baadaye akiwa kazini

Kisanduku

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
284
482
Kwa nini watu wakiwa University wakaambiwa kusoma list ya vitabu kadhaa, mithani ukiletwa wanapasua Grade A.

Lakini watu walewale wakiwa makazini, wanakuwa wavivu kusoma documents wakisema ni ndefu na ikibidi hawaelewi kabisa.

Je, ni dalili kwamba akili ya binadamu inapungua uwezo mtu unapoanza kazi?
 
wengi wanasoma kwa lengo la kufaulu mtihani na sio kwa lengo la kuelimika. university nyingi zinatoa elimu (theory) na sio ujuzi, ndio wengi wakiwa kazini wanshindwa kusoma document.
 
wengi wanasoma kwa lengo la kufaulu mtihani na sio kwa lengo la kuelimika. university nyingi zinatoa elimu (theory) na sio ujuzi, ndio wengi wakiwa kazini wanshindwa kusoma document.
 
Ukweli ni kwamba! Chuo kikuu watu wanakomaa kukariri hasa ikifikia nyakati za test na UE.Kukariri kwa wingi mtu anapata A na B+ lakini baada ya semester ukimuuliza yaleyale aliyofaulu hajui chochote! Ukifika kazini ndio usiseme, ni mtu wa kumwelekeza kila kitu wakati huohuo binafsi anajiona anajua kuliko wote lakini akipewa assignment anaharibu,akiambiwa anakuwa mkali! Yaani ni tatizo! Rote learning ndio imetawala na ndio maana Tanzania tuko nyuma.
 
Mfumo wa elimu ya Tanzania unapelekea wahitimu wawe hivyo, mambo unayoyasoma University ni mengi ambayo unaweza usiyakute kazini, hivyo unaanza kujifunza upya tena mtu mwenyewe ni mtanzania aliyekuwa nasoma ili afaulu mitihani.Baya zaidi semester system imekuja kutulemaza hatutunzi kumbukumu ya tunachokisoma kwa mwaka mzima
 
Back
Top Bottom