Uwezo wa mbegu ya kiume kulitoboa yai la mwanamke

OCC Doctors

Senior Member
Jul 20, 2018
104
151
Capacitation' ni uwezo wa mbegu ya kiume kulitoboa yai la mwanamke na kulirutubisha, hali hii inategemea na umbile la mbegu hiyo (morphology), utendaji kazi wake (physiology) na uwezo wake wa ndani (biochemical changes).

Yai la mwanamke lina milango mitatu ambapo Mbegu hutegemea kupita kwa kulitoboa, (cumulus oophorus), (corona radiata) na (zona pedllucida) ndio maeneo maalum ya yai la mwanamke ambapo mbegu ya mwanaume huingia kwenye yai kupitia maeneo hayo.

1684577925999.png
 
View attachment 2628606
Hiyo ni process ambao iko automatic haina ujanja wote na ubinaadamu muumbaji ni Mungu tu, sisi kazi yetu ni kukalili notes za sayansi tu.
 
Jambo linalotatiza wemgi ni namna ya kusiobgezea nguvu hizo mbegu ilu zipenye Vizuri yai la mwanamke
Inategemea na umbile la mbegu hiyo (morphology), utendaji kazi wake (physiology) na uwezo wake wa ndani (biochemical changes). Kukiwa na changamoto yoyote kati ya hizo, mbegu haiwezi fanya kazi
 
Back
Top Bottom