heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,012
- 9,153
- Thread starter
- #41
wewe si mganga wala mlokole ni nani? msukule? weka picha na ushahidi wa maongezi yenu!
hapa babu akiwa mahututi kabla hajafa
wewe si mganga wala mlokole ni nani? msukule? weka picha na ushahidi wa maongezi yenu!
babu alivyo kufa nikamshika mkono tukazungumza mambo mengi sana kuhusu ukoo wetu na ulimwengu kaniambia mambo mengi sana pamoja na mali alizo zificha za thamani ya milioni 200
Tuweke video inayoonesha wakati ukiongoea na mfu
kwaio mtu akifa huwa anasikia yanayozungumzwa?
world of wonders!!!!!!mi sio mganga wala mlokole ni mtu wa kawaida ila ninao uwezo wa kuongea na mtu aliyekufa kabla hajazikwa na ni jambo la kawaida sana
mi sio mganga wala mlokole ni mtu wa kawaida ila ninao uwezo wa kuongea na mtu aliyekufa kabla hajazikwa na ni jambo la kawaida sana
ni kawaida kwa wale wenye jicho la tatu.
Kama wengine hawasikii au hawaoni unavyoongea naye, basi si kila m2 atadai kuwa anao huo uwezo? Ua wewe unawezaje kuwathibitishia watu?
babu alivyo kufa nikamshika mkono tukazungumza mambo mengi sana kuhusu ukoo wetu na ulimwengu kaniambia mambo mengi sana pamoja na mali alizo zificha za thamani ya milioni 200
Eeeh, alizificha wapi?
babu alivyo kufa nikamshika mkono tukazungumza mambo mengi sana kuhusu ukoo wetu na ulimwengu kaniambia mambo mengi sana pamoja na mali alizo zificha za thamani ya milioni 200
kwenye shamba lake kuna kama shimo lililo jengewa na ukiingia unaweza ketembea humo humo mita kadhaa
mi sio mganga wala mlokole ni mtu wa kawaida ila ninao uwezo wa kuongea na mtu aliyekufa kabla hajazikwa na ni jambo la kawaida sana
babu alivyo kufa nikamshika mkono tukazungumza mambo mengi sana kuhusu ukoo wetu na ulimwengu kaniambia mambo mengi sana pamoja na mali alizo zificha za thamani ya milioni 200
Mr/ms ( bila kuathiri jinsia yako)/whoever unayejiita , nimesoma/tumesoma maelezo ya upande mmoja na tunashawishika kuyaamini japo hatukukupima utimamu wa akili yako wakati ukileta claim ya kwanza, na kwa kuwa sheria ya ushahidi ya karne nyinyi zilizopita na ambayo imeendelea kufanyiwa amendment ili kukidhi kizazi tulichopo zinatamka wazi ili ushahidi uwe validi ni lazima pande mbili zihusike kutoa utetezi. sasa basi ikiwa utashindwa kuwaleta hapa jamvini marehemu wasiopungua watano ambao umefanikiwa kufanya nao mahojiano wakiwa wafu (na wakakiri mbele yetu) basi kiungwana kabisa uombe radhi wana jamvi kwa kuleta mikanganyiko fikirishi isiyo exist!
mkuu horsehoe umeongea point nzuri sikupingi tatizo mioyo ya watu ni migumu sanaa huu uwezo ni wa kawaida kwetu nataka sasa niweze kuongea na ndege na wanyama