Naunga Mkono HOJA,lakini kwa kuongezea tu, mdahalo uwe wa wagombea wote (hata wale wasindikizaji)Ndg wananchi ingependeza kama vyombo vya habari hapa nnchini vingeandaa mdahalo wa moja kwa moja kati ya sio na nasary , hi ingesaidia wananchi kupima uwezo wao .
MNAONAJE HILI WAZO WAKUU ?