Uwekezaji na biashara inakuwa tanzania?

Haika

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,348
559
Naomba kuuliza kama kuna mahali ambapo naweza kusoma maendeleo ya uwekezaji, biashara, uzalishaji, wa hapa tanzania katika lugha nyepesi na endelevu.
mfano
1. majina ya makampuni na miaka ilioanza kuwekeza tanzania na size zake (size ya mtaji) na jinsi inavyoendelea kukua au kufa, kuuzwa, kumerge nk
2. majina ya watu wenye investments kubwa Tanzania eg big 50
3. majina ya makampuni 50 yenye kulipa kodi zaidi tanzania kwa kadiri miaka invyoendelea

nk nk
 
Je unataka kampuni zilizoanza kihalali au bora kampuni?
Majina yapo,lakini ungefafanua,waliowekeza kihalali au kifisadi !!!
Mziki upo kwenye kulipa kodi.

Nimetoa maoni haya ili kuupanua mjadala,kwa sababu ukijifunza kupitia kampuni iliyoanza kihalali na shghuli zake ziko wazi na halali,unaweza kupata ujasiri wa kuthubutu. Utapata nini kutoka kwenye kampuni ambayo mmiliki wake ana miaka 10 lakini kampuni ina umri wa miaka 20? Na ndio kampuni nyingi za hapa Bongo zinavyoendeshwa.
 
asante kwa kunifafanulia.
Nilitaka kujua tu zile halali, ambazo docs zake zipo,
hayo mambo mengine ya siri najua hatuyawezi.
Mfano, mimi kwa hisia zangu, Azam ni kampuni ambayo iko kwenye macho ya watu, mie nilidhani ni kampuni kubwa kuliko zote hapa Tanzania, ila sina uhakika kwa kuwa hakuna offical list nilioiona,
mi nadhani hii itasaidia mtu kujua unadeal na kamouni yenye reputation, reliable na kukuwezesha kuomba ushauri au kuiga baadhi ya mifano.
Kama vile kujifunza historia, walikotoka, waliko na wanakoenda,
je kuna hap mahali naweza kusoma?
au nalo ni mjadala wa wana JF?
 
Back
Top Bottom