Tatizo anayejenga kwakuwa ni engineer anadhani anajua pia Kiingereza hataki kuonana na wataalam wa lugha wabadilishane mawazo waandike kitu chenye mantiki murua. Mtu akiwa professor anajifungia anafanya maamuzi ya taasisi pekee yake unaona viroja vingi...kwenye taasisi. Taasisi ya Tanzania.View attachment 830679
View attachment 853105
Shikamoo wakubwa zangu wote.
Jana nilipoenda kutazama tamasha la Simba day kuna issue hii ndogo nili notice naomba ufafanuzi wa wataalamu wa lugha kwa maana sote tunafahamu fika ya kuwa lugha hii si lugha mama kwa wachina waliotusaidia kutengeneza uwanja wala sisi watanzania ila eneo kama main stadium ni pahala ambapo tunapokea wageni wa kutoka mataifa mbalimbali.
Kwa uelewa wangu wa lugha hii ya kiingereza naona maandishi katika entrance ya uwanja yalipaswa kuandikwa "Main Stadium" ama "National Stadium" badala ya ilivyo sasa ambapo lango kuu la kuingia uwanja wa taifa linamaandishi yanayosomeka kama "Tanzania National Main Stadium". Au labda yanatumika interchangeably?? I stand to be corrected. Nipo tayari kusahihishwa.
Kwanini shirika la viwango TBS lisingeigwa TNBS (Tanzania National Bureau Of Standard)
Wataalamu wa kiingereza naombeni msaada wenu kwa maana inawezekana ni mimi ndiye nisiyejua lakini walioandika wapo sahihi.
OUR MOTTO
========
KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USITUMIKE VIBAYA KUICHAFUA NCHI YAKO.
Secretariat ya ajira, kwanini interview za kazi zisifanyike kwa kanda (Zones)? Kwanini wote tujazane Dar?