Mask za nini? Muheshimiwa Rais wetu Mpendwa, Kiongozi shupavu ameshatuhakikishia hakuna Korona; Tena anawashangaa wanao vaa mask;
Brother Uko wapi? mimi nipo ughaibuni na napata Info zote kama nipo nyumbani;
Mask tunavaa sisi huku kwetu ndo bado ipo, ila Tz ni salam mkuu, hivyo endelea kufurahia maisha
Wewe endelea kubeba box zako ya huku tuachie sis
 
Ushauri kwa Chadema:-

Nashauri Lissu asitumie line ya tanzania yeyote ya simu ,nashauri atumie line ya nje na huku awe anafanya roaming tu na namba ya nje isiwe ya ubelgiji maana "TEETH" wataweza kuitrack ,kwa mawasiliano atumie whatsapp only kwa calls na sms ,hiyo namba ya nje imuwezeshe kupata internet tu ila hasitumie kwa voice.

Wasijue kabisa lissu anakaa wapi kwa mda wote awapo TZ ,sehemu ambayo anakaa waijue watu wa ngazi za juu tu chadema napendekeza TOP 3 tu,wengine wote wasijue kwa ajili ya usalama wake na pia nyumba anayokaa wafunge CCTV ambazo ziwe monitored na kurekodi matukio na kuhifadhi cloud,ulinzi uwe 24/7 hakuna mtu yeyote kusogea ndani ya mita 50 kutoka eneo analokaa,narudia tena hakuna mtu yeyote hasiyehusika kusogea ndani ya mita 50.

Kama ikipendeza awe anavaa bullet proof vest na kaptula akiwa sehemu za hadhara/kipindi cha kampeni,pia awe na ulinzi wa kutosha nyumbani na sehemu yeyote anayoenda halafu hao walinzi wawe full loaded na wawe well trained na combat.
 
hakika!
hii tuifungulie thread kabisa mkuu
 
Hakyamungu Chuma kimetua, jamani MUNGU yupo, muuaji anajisikia vibaya sana saa hii, analia machozi na mda wowote mshtuko wa moyo unaweza mpata.

Acheni Mungu aitwe Mungu, loh, kuanzia leo naanza kusadiki Mungu yupo, anaishi!
Ina maana siku zote hizi ulikuwa husadiki? Au muhemko
 
Back
Top Bottom