Uwanja wa Mashujaa Moshi umetapika, Dr. Magufuli kuhutubia

angalia hiyo nyomi

attachment.php
 
nimeamini ndani ya ccm hakuna kiongozi mzalendo kamwe. yaani sendeka ameamua kuligawa taifa letu kwa misingi ya ukabila eti kisa uchaguzi? kuanzia leo nimempuuza sana sendeka....mungu aepushie mbali...
Mimi huwa nashangaa sana wanapotumia wasanii pesa na nguvu nyingi kuvuta watu halafu ikifika wakati wa kuongea hakuna cha maana wanachokisema
 
Magufuli anasema eti ataendeleza michezo moshi wakati anakataa watu wasihame uwanja wa Memorial lilipo soko la mitumba wakati ule ndio uwanja wa mpira sasa sijui hii michezo anayosemea ni ya PS ama?
 
niliwaona vijana wa UVCC kwenye tv wakionyesha vidole viwili kama ishara ya mabadiliko ayo ndo mambo ya moshi bwana hata m/kit wao ni kamanda na mdau mkubwa wa mabadiliko ila anatengeneza mkate wake tuu heb twendeni na oktb25 tuone
 
Jamani Hapo nidanganye ni
Muulizeni mama minde
Walichofamnyia Alitoa bycle na vyerehani watu wakachukua kura chadema
Ndo kinachofanyika mwaka huu
Jamani Davis mosha nitajiri saaana na anagawa pesa kama njugu kura beanaeeee kula ccm kura chadema.
 
Kama ni za kweli haya, make hata za jana za uwanja wa shekh Amri zilikua tofauti
star tv zao tofauti na hali halisi tofauti

Huyo mdananda ni mzee wa location watu hakuna zaudi ya kuleta wa2 n mabasi n bdo hawakujaza kauwanja hako kadogo.....huyo yahaya anajua hana chake hapo zaidi y kuuza sura tu...nani anachagua kilaza huyo mpenda sifa...miaka 100 ccm hawawezi shinda moshi mjini,vunjo hata chami nae anaangukia pua distym
 
Kweli kabisa. Halafu hizo picha wanazikata wa ufundi mkubwa sana/tofauti na inavyoonekana kwenye matangazo ya moja kwa moja

TATIZO SI KUJAZA BALI WANGAPI WATAMPA KURA MH.MAGUFULI NDO DHANA YA CCM! in short CCM ipo vizuri! watu wanaanza kupata imani na MAGUFULI
 
Mikutano ya ccm watu wanavaa nguo za ccm. Hawa ni watu genuine na CCM. Ukawa watu wengi hawavai jezi za vyama vyao. Hawa sio watu hivyo vyama vya ukawa
 
Naamini macho yangu hayajaona makengeza!
Leo nimemuona Nchimbi akiwa jukwaani kumsindikiza Magufuli pale Moshi.

Kama macho yangu yalikuwa sahihi basi kauli hii ya UMOJA NI USHINDI ina mantiki kubwa sana ndani ya CCM.

Wachambuzi wa mambo wanaweza sema hii ni Psychological torture kwa Team lowassa.
 
Magufuli ndio mkombozi wa watanzania bila kujali Chama ,Kabila au dini ya mtu. Mpe Kura yako Joseph Pombe magufuli.anapendwa nchini kote.
 
Haa ha ha Evelyn hivi na wewe unaamini kuwa ilikuwa tofauti?subiri kimbunga cha Magufuli asubuhi ya 26/10/2015.Ndipo utakapojua kumbe mlikuwa mnatiana moyo bure tu humu, Lowassa is going nowhere, Magufuli is your next president, there is nothing you can do about that.

Kama magufuli anakimbunga, siku moja asikusanye wasanii asimame mweyewe
ndo atajua ye ni kimbunga au debe tupu
 
Back
Top Bottom