Uwanja mpya wa Taifa ni mbuzi wa kafara kwenye miaka 50 ya Uhuru

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Tanganyika haina cha kujivunia katika miaka 50 ya uhuru. Badala yake kila mtu anaye ongelea uhuru wa Tanganyika hatamaliza bila kuutamka uwanja mpya wa dar es salaam bila kujua huu uwanja ni wa muungano. wasanii wa mziki na maagizo kazi zao hazikamiliki bila kuuonyesha uwanja wa Taifa. vyombo vya habari bila uwanja mpya habari ya uhuru hijakamilika. Zanzibar wanatangaza Ngome kongwe je Tanganganyika mnatangaza nini? na miaka 50 ya muungano mtajisifia kwa lipi?
MNAJICHORESHA SANA. OVER
 
Back
Top Bottom