Uwanja mkubwa wa 100m x 100m unauzwa maeneo ya kurasini

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Uwanja ni mkubwa na umepimwa, upo karibu kabisa na bandari upo katika eneo la Tom Estate hapa kurasini. nyaraka zote muhimu zipo na anayehitaji kuziona au kuona eneo anaweza kunipigia, au tuma msg. 0755 099 291, 0686 200 117,
0657 14 5555.E - mail info@havilla.net, thomasnelson564@yahoo.com ( havilla Real Estate Agent) karibuni wote mlio na nia ya kununua au kufanya ubia. bei ni 700M.
 
milion 700 ndogo?? kweli bongo kila mtu fisadi....:painkiller:
Jamani Jestina , si nimesema 'reasonable' tu? Sina maana nina hiyo pesa mfukoni mwangu au naiona ndogo. Mita 100 kwa 100 ni sq meter elfu kumi (10,000). Kwa bei aliyotaja, ina maana kila sq m moja anauza sh elfu 70. Jaribu kutafuta thread nyingine za watu wanauza viwanja humu ndani (JF) unaweza kuona ni kwa nini ninasema hii ipo reasonable.
 
Last edited by a moderator:

kweli hata mimi nimeona ni very cheap 700m? Kulinganisha ukubwa na eneo kiwanja kilipo, humu ndani tumezoea kusikia
kiwanja kipo kimara heka1 bei billion1 khaaa hadi inaboa
 
Last edited by a moderator:
milion 700 ndogo?? kweli bongo kila mtu fisadi....:painkiller:

Ukilinganisha na eneo lenyewe ni ndogo hiyo pesa, ni sawa na wewe leo uambiwe kampuni ya Microsoft inauzwa kwa shillingi bilioni 100 si lazina usituke sana maana ni kapesa kadogo saaana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom