Uvumi wa milipuko wa mabomu!!Jw wakanusha!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,712
Ilikuwa ni kizaazaa jana baada ya uvumi kuenea tena kuwa mabomu yatalipuka tena,lakini kwa bahati nzuri JW jana usiku wakakanusha kuwa hakuna mabom yatakayolipuka na wananchi watulie kwenye nyumba zao!!Kaazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom