Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Kama wewe umesikia basi amini kuwa Dr Slaa kashasikia siku nyingi.
Aliwaonya siku nyingi akiwa Iringa kuwa nusu ya Usalama Wa Taifa wanariport kwake.
Kama aliweza kupata zile habari za ndani kabisa, basi hizi za kuchakachua zinazohusisha watu wengi ni cha mtoto.
Amini nakuambia, siku hiyo kuna watu watakuwa wanakamatwa na makaratasi yao na kubebwa juu juu.
Kama wana akili basi hesi wajifiche nayo na waseme tulikwama na uchaguzi ukiisha basi waje wamrundikie Slaa makaratasi hayo na kusema nani aliwapa.
Ninaanza kuamini kuwa NYUMA ya Dr Slaa, kuna watu MAKINI na IMARA sana na ni zaidi ya yeye Dr. Slaa. Slaa ni kama alivyokuwa Mzindakaya kuwa haogopi kitu na wale wachache wenye kujua siri basi humpasia yeye na yeye husema. Sema tu kuwa Mzindakaya alikuwa akitumika kwenye SIASA ya wenyewe kwa wenyewe kumalizana kwenye CCM wakati Slaa yuko Chadema na anatetea Watanzania wote na si Mafisadi machache kama alivyokuwa akifanya Mzindakaya.
Ndiyo maana unawasikia akina Marando wanasema ".... tumejiandaa vya kutosha kuzuia wizi."
Amini amini nakuambia, baada ya Kikwete kufanya madudu mengi ya kuchafua watu (kumbuka hawa walikuwa na kundi lao kubwa tu huko nyuma yao) alijijengea maadui wengi sana. Kuna wale aliolipiza kisasi na wao wanamchukia sana. Kuna wale wanaoishi kwa woga kuogopa kisasi chake na HASIRA ZA LOWASSA, na wao wanamchukia sana. Pia kuna wale hawampendi tu yeye kama Kikwete. Unamalizia wale woote waliochukizwa na KUNYIMWA ULAJI baada ya kampeni za CCM mwaka huu kufanywa za Kifamilia. Wengine hata si ulaji ila wanaona kuwa IKULU sasa imegeuka kuwa swala la Mgombea Binafsi kwa kutumia Mgongo wa Chama. Hawa wanaogopa UBABE na HASIRA za Ridhiwan na Mama yake Salma Kikwete mara watakapokuwa wameingia Ikulu.
Kusema ukweli, Ridhiwan na Salma ndiyo wanaleta tishio zaidi kwani hawa kulewa madaraka ni rahisi sana. Salma na kimbelembele chake TUTAKOMA wenyewe. Atalazimisha kila akija mkoa fulani basi watu waache kazi na waje kumpokea. Ridhiwan atalazimisha Apigiwe Salute na apite kukagua Magwaride. Kama huamini, kivumbi kinakuja basi vuta subira.
Ndiyo maana kila MTANZANIA, bila kujali Chama gani, anaona KASHESHE inayokuja na anaamua KUMSAIDIA SLAA ili kuiokoa nchi kutoka kwenye mikono ya UFALME wa Kikwete Family na VISASI vyao na zaidi ni hasira za LOWASSA. Mtu kama Mwakyembe na kundi lake walilomuondoa Lowassa, kama Kikwete akishinda, basi WAJIANDAE.