UvCCM wahaha kurudisha imani ya vijana kwa CCM

If ccm is to breath anymore should be after death. Had their leaders been devout, confession similar to that of the late Pope Paul, done on behalf of Catholic church at least could set a new turning/reviving point. But since most of them believe in sorcerers, dark magics and regards themselves as powerful than the mass voices (God's voice), then no otherway to be rescued more than facing death.
 
Ndugu jamaa namarafiki humu ndani ya JF naomba ushauri wa kizalendo, upendo na wakidemokrasia. Wewe binafsi unafikiri wana CCM wafanye nini kuhakikisha imaniwaliyokuwa nayo huko nyuma mbele ya Watanzania iweze kurudi?
Naombakuwasilisha.

sometimes back, Hussein Bashe was tasked by uvccm to collect the public opinion on the same matter. He also officially reached JF members where he collected very sincere opinion and suggestions. Unfortunately, before getting them into action you are also coming for the same mission! Can you first brief us what steps have you reached before you fully continue with another exercise?
 
wazee tayari wameshaanza kuwakataa sembuse vijana?. Miaka 50 huduma zote mbovu vijiji havina umeme, barabara, maji, nk. Kama c mwehu huwezi kuwapenda ccm!
 
Kinachoiua CCM na kumaliza popularity ni state of being 'incumbent'. Kushikilia madaraka ya uongozi wa nchi. UVCCM hawawezi kurudisha imani kwa wananchi mpaka pale CCM iwe out of power au ihakikishe kuwa vijana wanaishi mazisha mazuri kwa kuwa na kazi nzuri wanazotaka wao. Anything short of that ni 'usanii'
 
wakubali tu wameshindwa watukabidhi nchi na wenyewe waende wakajipange kwa wakati mwingine. Ni vema wakafanya hili haraka kabla watanzania hawajachukua uamzi mgumu
 
inavyoonekana hawaelewi hata taratibu za bodi ya mikopo walizitunga vipi?

umenena kaka niliangaria uchaguzi wao huku kigoma nilichoka kabisa ni pesa kwa kwenda mbele maswali mengi nilijiuliza vijana hawa wanapata pesa wapi hapo mie nilikuwa field nilichoka kabisa
sitaki hata kuwasikia kabisa
 
Ili wapate mbinu ya kukubalika mbele ya vjana na watanzania kwa ujumla,nilazma waachie madaraka au nchi kwa kifupi,coz wakikubali kushndwa kwa amani hapo 2015,wakaipisha CHADEMA iongoze nchi wao wakiwa wapinzani,hapo ndipo watapata idea na sera nzuri zinazokubalika na zinazotekelezeka,after 2030,hapo cio tu mtakuwa mmejipanga bt hata kile kizazi cha nyoka ufisadi kitakuwa kimekwisha kabisa,na pia wabadili jina waludie jina lao la mwanzo,TANU,Naomba kuwasilisha wakuu.
 
wafanye yafuatayo,hospital ziwe na dawa,co majengo,watibiwe hapa nchini,madktari na manesi wawe nyenzo za kazi,bajaj zitumike kubeba pia wake zao kwenda kujifungua,barabara zijengwe kwa viwango,shule za kata ziwe kwa watz wote na ziwe na viada na maabara,waache mipango ya kulipulipua na kuwa na takwimu nyingi za kuombea kura na misaada kwa wafadhili,waeleze wananchi kodi inalipwa kwenda serikalini,na sio ccm inayotoa huduma za watz,reli yetu inamakosa gani mbona haitengenezwi,watueleze nani alifuja shirika
 
Me nilishangaa sana,kuna mwarabu m1,cjajua kama Mods wataniruhusu nimtaje kwa jina,bt kma akiniruhusu nitamtaja coz mbali na kugawa pesa kma rushwa anatuhuma nyingi,wanabodi nipeni ruhusa nimtaje kudadadeki zao magamba,na alibebwa na gamba makamba mkubwa.
 
Ndugu jamaa namarafiki humu ndani ya JF naomba ushauri wa kizalendo, upendo na wakidemokrasia. Wewe binafsi unafikiri wana CCM wafanye nini kuhakikisha imaniwaliyokuwa nayo huko nyuma mbele ya Watanzania iweze kurudi?
Naombakuwasilisha.

Haiwezekani kila mtoto wa kiongozi naye ni kiongozi, ktk mahesabu kama wangekuwa wanafuata haki probability ingekuwa ndogo sikatai kuwemo lakini idadi yao ingekuwa ndogo kulingana na population yetu.

Hiki watu wanakiona na ni kigezo mhimu kinachowadidimiza ila wao wanafikiri watu hawaoni ndo tatizo lao.
 
Back
Top Bottom