UVCCM kuandama kesho !

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Habari hizi zimetangzwa na TBC1 saa 7:00 mchana leo sikuwa na NET on Phone
pia wametanagaza kuwa watuhumiwa wa richmond wamejititea kwenye kikao na maamuzi yatakuwa ya CC

Walimuhoji reporter wao kwa simu.

Mapya ,tutaendelea kuelezana hapa
 
mbona heading haiendani na maelezo? au ndio tatizo la kutokuwa na net?
Habari hizi zimetangzwa na TBC1 saa 7:00 mchana leo sikuwa na NET on Phone
pia wametanagaza kuwa watuhumiwa wa richmond wamejititea kwenye kikao na maamuzi yatakuwa ya CC

Walimuhoji reporter wao kwa simu.

Mapya ,tutaendelea kuelezana hapa
 
uvccm waandamane kwa lipi mpwa? Katiba si wameshaitengeneza tayari?
 
Hawawezi kuandamana kwa wakati huu kama wanataka waharibu dili la CCM na polisi kusingizia Al-shabab wajaribu kuandamana waone moto utakavyokuja waka?
 
Back
Top Bottom