Uvamizi Hatari wa Kimtandao Duniani: Tishio la Usalama wa Taifa Tuchukue Hatua Haraka

My documents hard copy acha utani wewe...kwani mtandao kwako ni mpaka internet tu...well bado sisi hatupo kwenye hizo risks


Acha magirini wewe hard prints zidukuliwe na nani? Zile zetu za masijala nani azidukue? Labda watume mchawi!
Hizo zinachomwa moto tu
 
Mkuu, mimi nimeishi nchi nyingi za Ulaya na ninafahamu hadi leo hii kuna taasisi walikuwa wakitumia XP.

Pia nina marafiki kadha wa kadha kutoka nchi zingine duniani ambao nao wananiambia kwamba bado walikuwa wakitumia windows XP.

Hilo nina uhakika nalo kwa 101%
Inshu sio kutumia XP, bali ni kwanini bado wanatumia XP?
 
Inshu sio kutumia XP, bali ni kwanini bado wanatumia XP?

Mkuu, Microsoft waliacha kutoa "security patches" kwa XP mwaka 2014.

Walitangaza sana juu ya hilo na wakasema wazi kwamba ifikapo April 8 2014 watatoa security patch ya mwisho.

Lakini baada ya Microsoft kuacha kutoa hizi patches bado asilimia 27.7 ya kompyuta duniani zinatumia Windows XP.

Hivyo hata baada ya kutumia Windows Vista, Windows 7 na Windows 8, bado wadukuzi wameweza kutumia mwanya wa udhahifu wa kiusalama "security vulnerability" kwa hizo Windows pale Mirofost wnapofanya Updates kuchungua kulima ndani Zaidi na kuingia katika Windows XP ambayo huwa haifanyiwi Updates.

Kwahiyo kama bado unatumia Windows XP iwe ya kurudufu au halali bado upo katika hatari ya kushambuliwa na wadukuzi endapo hutakuwa na wataalam wa IT ambao watakusaidia kufanya updates endapo tu unayo original copy ya Windows XP ambayo ina mafaili yote muhimu ya ku-run hiyo OS yako.
 
Mkuu, Microsoft waliacha kutoa "security patches" kwa XP mwaka 2014.

Walitangaza sana juu ya hilo na wakasema wazi kwamba ifikapo April 8 2014 watatoa security patch ya mwisho.

Lakini baada ya Microsoft kuacha kutoa hizi patches bado asilimia 27.7 ya kompyuta duniani zinatumia Windows XP.

Hivyo hata baada ya kutumia Windows Vista, Windows 7 na Windows 8, bado wadukuzi wameweza kutumia mwanya wa udhahifu wa kiusalama "security vulnerability" kwa hizo Windows pale Mirofost wnapofanya Updates kuchungua kulima ndani Zaidi na kuingia katika Windows XP ambayo huwa haifanyiwi Updates.

Kwahiyo kama bado unatumia Windows XP iwe ya kurudufu au halali bado upo katika hatari ya kushambuliwa na wadukuzi endapo hutakuwa na wataalam wa IT ambao watakusaidia kufanya updates endapo tu unayo original copy ya Windows XP ambayo ina mafaili yote muhimu ya ku-run hiyo OS yako.
Tunajua hilo, ila kwanini bado watu wanatumia windows XP? If you can answer that continue, otherwise rest your case.
 
Tunajua hilo, ila kwanini bado watu wanatumia windows XP? If you can answer that continue, otherwise rest your case.

Because its the best window ever!
second, kuna maakamopuni makubwa mengi yana software amabzo wakipiga ehsabu kubadili window ni expensive kuliko kutumia xp ( Note maampuni makubwa yanalipia microsoftw na yanendela kuhudumia kwa kulipia)
 
Umeongea vema.


Hivyo sio wajinga kama watu wengi wanavyodhani na kuhoji why wameendelea kutumia wakati wanajua haina support. Hata hivyo kama ilivyo kwenye taasisi na nchi nyingi, kuna siasa pia zinazoathiri mamauzi kufanyika. Niishie hapo

MKuu Sapoti ipo ni hela yako tu na mkataba wako na microsoft. makampuni makubw amengi bado yana xp na yanasapoti kutoka microsoft.
 
what was stolen from NSA was a tool(software) that enables backdoor on windows bases system. Hackers stole and used that tool to create backdoors in computer so that their virus "wannacry" can pass and infect those computers

Wanasema walio iba sio walio tumia, walio iba waliiba wakaiweka free online, wajanaj wakaja wakaichukua na kuitumia kivyao, pengine ni wengi wanayo na wanitumia kivingine.
 
Leo muda huu, hao jamaa wamehack na kunizimia simu, nikachomoa betri kisha nikaiweka na kuwasha tena, ikawaka, baada ya kuwaka wameniletea pop up wakisema 'enjoy easy private browsing' chini yake wakaandika view, bhasi sikutaka kuiview maana NIMEISHITUKIA na kuiclose fasta, simu yangu iko poa hadi sasa. CHUKUENI TAHADHARI.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Nina mashaka na unachoongea. Umetoa wapi hiyo habari? MS walistop hiyo biashara hadi juzi walipoamua kuwasaidia walioathirika ndio wakawatengenezea patch wakabiliane na WannaCry. MS mwenyewe kaongelea hii tatizo juzi unless umenukuu pengine. Wanaoendelea kutumia wamekua wakitumia kwa risk hivyohivyo wakijua wako vulnerable

Duh!
Sihitaji kubishana mwalimu!
na Ukiendelea itabidi nihoji hata elimu yako!

plz do u research, if u have friends, ask them!
Hata hapa tz yapo makampuni yanalipia Support for XP.
Usitake niyataje mana hiyo sasa ni privacy ya hiuzo kampuni.

narudia do your research na uje hapa ukanushe. ( nakupa dakika chache maana wewe ni mwalimu na nikisema do ur research namini u can do it in few seconds and am giving you few minutes uje ukanushe hapa.
 
Umeongea vema.

Niongezee kujibu swali la watu wanaohoji kwa nini nchi kama UK walikua bado wanatumia XP? Kwanza nisema hii hutoke sana tu windows wanapo-upgrade kutoka version moja kwenda nyongine. Hata kubadili windows 2000 kuna makampuni mengi makubwa iliwachukua miaka mingi.

Kuweka mfumo wa computer kwenye idara nzima ya afya kwa nchi kama UK ni multibillion pounds project na sometimes unakuta hiyo OS waliyonunua kwa ajili ya mifumo yao ina some specific features..so sio XP kama tunayonunu sisi kwenye individual computers. pili, kuubadili OS kunaendana na kubadili information systems nyingi ambazo zimewekwa na ni specific kufanya kazi na XP. Tatu kunandena na kubadili systems za security. Nne kunaenda na kubadili several other systems zinazointeract na system yao. Sasa ukitazama hayo yote unaona sio rahisi kabisa kuhama kwa haraka kwa sababu za kiufundi na gharama.

Ndio mana taasisi kubwa duniani wanaponunua kompyuta wananunu a very stable OS ambayo itadumu kwa miaka mingi bila haja ya kubadili. Chukulia kwa mfano taasisi kama BOT au UDSM leo waseme wanabadili OS za komoyuta zote chuoni (tukiamini kwamba wanatumia genuine OS na wana standard kwenye taasisi nzima) ... ni project ya billions nyingi sana.

Hivyo sio wajinga kama watu wengi wanavyodhani na kuhoji why wameendelea kutumia wakati wanajua haina support. Hata hivyo kama ilivyo kwenye taasisi na nchi nyingi, kuna siasa pia zinazoathiri mamauzi kufanyika. Niishie hapo

Nimekupata mwalimu, ila wanaendelea kutumia kwa sababu kwa wale wataalam wanafahamu kwamba MS wakitoa sasishi hata kama wanatumia Windows zingine bado XP inaweza kuwa supported kwa kutumia sasishi tu yaani zile Updates.

Sasa kama nilivyotoa ushauri kwenye jukwaa ya masuala ya IT ni kwamba kuna Windows Embedded ambayo bado ipo inasaidiwa na MS kwa vile kuna mashine nyingi zinatumia hiyo MS Embedded kama mashine za ATM na zile za cash tills.

Ila Pia kuna uwezekano mkubwa kwamba kulikuwa na matumizi ya XP bila kufanya Updates wala usafi wa Kompyuta wa kila mwezi ili kubaini "any vulnerability".

Kumbuka hawa wadukuzi kila siku wanaiangalia Windows XP kama vile ndiyo njia pekee ya kuingilia Windows zingine kama Windows Vista 7, 8 kwasababu kwa sasa haina "direct security patches" isipokuwa sasishi pekee yaani Updates.

Uzembe upo kwenye kutofanya Updates na usafi kwa ujumla yaani PC cleaning, na hii ni kazi ya wiki hadi mweizi mzima kutegemea na ukubwa wa eneo la ofisi, vinginevyo inawekwa idara ya IT ambayo huwa ndiyo inashughulikia maintenance na any other issues.

Pia ni Windows 7 pekee ambayo inaweza kuwekwa juu ya XP yaani "Upgrade" na si vinginevyo hivyo kuwa gharama kununua Package nzima ya windows 7.

Ila Mwalimu, tusikatae kwamba huu ulikuwa ni uzembe na kutojali matumizi sahihi ya Kompyuta na programs zingine zinazotumia chombo hicho kama vile java na Adobe Reader ambazo wadukuzi wana uwezo wa kuingilia ili kwenda kwenye Windows XP.
 
Mimi sipingani nawe kabisa. Na ndio mana mwisho wa ujumbe wangu nilimalizia kwamba pia kuna changamoto za kisiasa (neno uzembe kwenye hili to me is too loaded... so naliepuka) . Na hapa nimefanye reference specific kwa system kubwakama ya NHS ya UK ambayo naifahamu inavyofanya kazi na neno uzembe kwao lina nafasi ndogo sana.

Ila tofauti ninayoiona hapa kati ya mitazamo yetu labda inatokana na tulivyokua exposed differently kwenye hili tatizo and scale of use ya OS. Mimi nimeongelea very specific kwenye cooperate organizations kwenye nchi zilizoendelea maana ndiko watu wengu huku kwenye mjadala wamehoji imekuwaje nao hadi leo walikua hawajaupgrade kutoka EX. pia nimeongea kitu ninachokijua in and out na nimesikiliza kauli ya MS Inc juzi.. sijatumia theory.

Ila we are all talking the same thing..though differently na hiyo ni taha ya mjadala pia.

Bless you

Sawa mwalimu mimi nakuelewa vema.

Je, vipi suala la udhibiti wa usalama wa mitandao kwa sasa lkwa taasisi unazozifahamu limetengamaa yaani lipo under control?

Mimi hapa kwenye kibanda change cha biashara Kwamtogole nimechukua hatua zote muhimu za kujilinda dhidi ya hawa wadukuzi, hatari sana hawa watu.

Pia simu yangu ya mkononi ipo up- to-date na Smart TV yangu latest ya Samsung ambayo nimenunua pale Samora Avenue ipo salama kabisa.

Sisi watu wa IT community tunatakiwa tuwe na mijadala chnya maana tunafunza watu hapa.

Endelea kuwepo hapa mwalimu Mndeme ili tupeane madini ya uhakika na latest.
 
Kwa taarifa za kiifundi nilizopata , hadi sasa taasisi kadhaa (tena nyeti) zimeshavamiwa na udukuzi huu.

Nasisitiza ushauri wa taasisi zote kuzima internet kwenye mifumo ambayo haina ulazima wa kuwenye internet muda wote. Hi ni hatua ya muhim na ya haraka kuepuka hasara kubwa itakayojitokeza
Kuna wengine walivamia alhamis, kila ukiaccess system inakuletea taarifa za kichina... dah..
 
Niweke record sawa hapa. Kibanga kawa mstaarabu kwa mwalimu na kamletea mshahidi kwamba kuna baadhi ya taaisisi bado zinapewa support ba MS kwa windows XP kwa mikataba maalumu ya kulipia. Kama nilivyosema awali nilikua open kujifunza kwa nisilolijua. Asante Kibanga.

MM

Ni jambo jema na kwa faida yetu sote katika ujenzi wa Tanzania imara yenye mifumo imara kabisa ya kompyuta isoweza kuingiliwa na vidudu mtu wadukuzi a.k.a Hackers au matapeli wa mitandaoni lakini wenye ujuzi wa hali ya juu wa kuiambia kompyuta ifanye nini.
 
Niweke record sawa hapa. Kibanga kawa mstaarabu kwa mwalimu na kamletea mshahidi kwamba kuna baadhi ya taaisisi bado zinapewa support ba MS kwa windows XP kwa mikataba maalumu ya kulipia. Kama nilivyosema awali nilikua open kujifunza kwa nisilolijua. Asante Kibanga.

MM

Ur Always wewlcome Mwalimu!
Kuhusu Lugha zisikwaze ndivyo tulivyo sisi waswahili.
 
Wanasoma watu IT mpaka kitabu kikaisha bila AJIRA aende wapi,,ni kama kupiga chini wanajeshi na polisi kwa ajili ya vyeti feki unafikiri mtaani kutatokea nini
 
The world's biggest cyberattack has hit at least 150 countries and infected 300,000 machines since it started spreading last Friday.
The victims include hospitals, universities, manufacturers and government agencies in countries like Britain, China, Russia, Germany and Spain.


The list of institutions has grown as more become aware of hacks and as variants of the virus spread.

Related: Worldwide cyberattack sparks fewer aftershocks than feared

Global Companies

FedEx: The company said this weekend it was "experiencing interference with some of our Windows-based systems caused by malware" and was trying to fix the problems as quickly as possible. By Monday, the company said it had resumed "normal operations."

Nissan: The carmaker said in a statement that "some Nissan entities were recently targeted" but "there has been no major impact on our business."

Are you affected by the global cyberattack? Have you paid the ransom? You can text or WhatsApp us at +1 347-322-0415

China

Colleges: Internet security firm Qihoo360 issued a "red alert" over the weekend, saying a large number of colleges and students in China had been hit by the ransomware attack.

Gas stations: State-run media in China reported that some gas stations saw their digital payment systems shut down, forcing customers to bring cash.

Germany

Deutsche Bahn: The German railway company told CNNMoney that due to the attack "passenger information displays in some stations were inoperative" as were "some ticket machines."
 
Back
Top Bottom