Uvamizi Clouds Media Group: Kamishna Sirro awataka wahusika wakaripoti polisi haraka

Naona alilala ule usingiz wa ile movie ya kanumba na wema ndio anazinduka leo manake yaan tangu tarehe 17 mpaka leo yeye ndio anajua tuseme
 
Hamjaelewa ila mnajibu.
Hapo Wahusika wanaotajwa ni CMG kwenda kulipoti hilo tukio.

Na atauliza kwa RPC wa Kinondoni kama hilo tukio limeripotiwa.
Na kama Ruge hajaliripoti tukio hapa kutakua na walakini.
We ndo hujaelewa.
Sirro kashindwa nini kumuuliza RPC au RCO wa Kinondoni kabla na yeye kukamata mic?
 
Huyu Kamanda ananifurahisha saaaaana! !,
1. Tukio limetendeka tangu lini
2. Wahusika ni moja ya watu wako unao humo humo kiutendaji
3. Tangu tukio litendeke leo ndo unaamka
4. Au ulikua Unadhani mkuu wako wa mkoa yuko juu ya sheria
5. Pole Kamanda Nakuhurumia kwani kazi ulionayo kwa Makonda pole.
 
UVAMIZI CLOUDS,KAMISHNA SIRRO AZUNGUMZA.

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema suala la uvamizi wa kituo cha Clouds Tv wahusika wanatakiwa kuripoti tukio hilo Polisi haraka.Amesema atafuatilia kwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Suzan Kaganda kama tayari limeripotiwa kwa hatua zaidi.[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]

Poti wangu Kamanda Sirro Watu wa kwetu Mara ( Musoma ) huwa ni wakweli, wenye kuthubutu, hawaogopi, hawajipendekezi na wala hawatishwi hovyo sasa Vitendo vyako au mwenendo wako nashindwa kuamini kama kweli Wewe ni Mwana Mkoa wa Mara mwenzangu.
 
TL alidakwa Dodoma akapelekwa Dar, bulaya akatolewa Mwanza akapelekwa Dar kwa PA, gwajima vs pengo akatakiwa afike polisi

Ishu ya Bashite wanaitwa walioonewa

Daaah, kweli CCP now days mafunzo yao yamekua mdebwedo(jot's voice)
 
hili bara la afrika ni tatizo....tuoneshe njia enyi horus,osirus na isis(nyinyi mnawaita yesu,maria na mungu baba)
 
Hapa Sirro anataka kuja na Blaah blaah zake za kumsafisha Makonda, kuwa ule haukuwa uvamizi.
We utanufaika nini hasa kama akishtakiwa?
1.Utakuwa umebadili hali yako kiuchumi?
2.Wananchi wa kawaida ndio watapata Maendeleo ya vitu kama Maji, miundombinu, madawa hospitalini, Pembeje kwa wakulima n.k?
Msalani think big, acha kushikiwa akili na wauza unga!
 
Mbuzi wa kheri kala shamba la bwana kheri walipokuwa wanachungwa na mtumishi wa bwana kheri na Mzee kheri kaona kywa shauri leende nyumbani kwa bwana kheri unadhani hiyo ni kesi ya nani???
 
Haeleweki leo ndo kaujua huo uvamizi, alikuwa wapi toka taarifa ilipomfikia? Aende zake huko
 
Acha usanii Siro!..... Badala ya kusema waliovamia studio za clouds wanatakiwa wajisalimishe polisi eti unataka waliovamiwa ndo waripoti central!!........Acha hizo kamanda!
 
Bongo sanaa haziishi kila mtu kama Joti tuu watu wanaonekana katika Cctv wapo katika mitandao akitaka majina yao ni dakika tuu lakini hawataji kama vile hawajui kabisa.
 
Back
Top Bottom