Uv_ccm arusha kwazidi kuwaka moto

Wikiliki

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
528
139
Wanajamii forum leo katika taarifa ya habari ya itv umoja wa chama cha magamba(ccm)baadhi yao wanaaojita viongozi wa kata za Arusha mjini na wajumbe wa wilaya wamefanya mkutano na kutangaza hawamtambui mwenyekiti wao na mwenyekiti wamkoa maana ni mawakala wa mafisadi na kuwataka lowasa,rostam namzee wa visenti chenge kuondolewa kwenye chama maana ni mafisadi.
 
Nabado mengine yakuja, hadi kufikia mwisho wa mwaka huu magamba na nyama yote itatoka na kubaki mifupa tu so sijui kama kutakuwa na uhai pale. Chama Cha Magamba bye bye :A S 103:
 
kikundi cha wahuni wa pale kaloleni, tamko lao halina hata muhuri wa ofisi, yani kwa kifupi ni CCM-CHITANDA
 
Mary Chatanda simpendi kabisa simpendi huyu mama...alisababisha mauji ya makamanda wetu wa chadema
 
Back
Top Bottom