M mrlonely98 Member Nov 6, 2009 94 6 Aug 26, 2012 #1 asalaam wana jamii, zile uv light za kucheki kama hela ni original au fake nitaipata wapi.
bluetooth JF-Expert Member Jan 12, 2011 4,402 2,550 Aug 26, 2012 #3 Mkuu nenda mitaa ya nkurumah street .... tafuta brand ya PHILIPS original ... wachina wameshaingiza zakwao za fong kong
Mkuu nenda mitaa ya nkurumah street .... tafuta brand ya PHILIPS original ... wachina wameshaingiza zakwao za fong kong