Uume kusinyaa

mara nyingi uume kusinyaa ni matokeo ya kupiga punyeto kwa muda mrefu, haiwezi kurudi tena hiyo, hicho sasa ni kilema kama vilema vingine, ila cha muhimu ni kujihamini kama unaweza majambozi na kweli utaweza lakini baada ya tendo tu inasinyaa tena na kuwa ndogo mno
 
mara nyingi uume kusinyaa ni matokeo ya kupiga punyeto kwa muda mrefu, haiwezi kurudi tena hiyo, hicho sasa ni kilema kama vilema vingine, ila cha muhimu ni kujihamini kama unaweza majambozi na kweli utaweza lakini baada ya tendo tu inasinyaa tena na kuwa ndogo mno

Duh,

Mara nyingi...je,mara nyingine husinyaa kwa sababau gani?Na mara nyingi ndio mara ngapi?Kwa muda gani?

Well,ni nini tofati ya mshindo utokanao na punyeto na ule utokanao na 'oral sex' au 'penetrative sex'?Kipi kilicho cha mno hasa kwenye punyeto kiasi cha kusababisha msinyao wa uume?

Kilema?Nini kilichopo kwenye punyeto kinachoweza kusababisha kilema?

Ni nini uhusiano kati ya punyeto na uume kusinyaa?Msaada tafadhali.....nitashukuru zaidi endapo utakuwa wa kisayansi zaidi.Im afraid jibu lako limeniacha na maswali mengi kuliko niliyokuwa nayo kabla sijalisoma.
 
Bontowar, Swali lako linaweza kujibiwa hapo, just post your question... venganza.org/?s=PENILE ATROPHY </.../free.swf></object>.html
 
Fisadi Nyangumi na Kyakya angalieni kwenye internet mtapata zoezi hili.
__________________
LAGATEGE NA MIE NIJULISHE JAMANI..NTAIPATIA WAPI HIYO

Sasa Mama mia nawe unataka kujua namna ya kutatua tatizo la uume kusinyaa? haya twende kazi tafuta How to strengthen a flacid penis.
 
dah hiyo ngumu itakuwa ni mudawote lina sinyaa hata likiwa karibu na nyeti ya kike nini!!!???
 
Mwanaume anayepatwa na tatizo hili anapokuja kujigundua huona kama mabadiliko makubwa yaliyotokea ghafla katika viungo vyake vya siri. Mwanamke mwenye tatizo hili pia naye huona kama tatizo geni linaloanza ghafla.

Kwa kawaida hali hii hutokea katika umri mkubwa kwa mwanaume na mwanamke yaani kuanzia umri wa miaka hamsini lakini ikitokea katika umri chini ya miaka hamsini basi ni tatizo. Wapo vijana wenye matatizo haya ambayo vyanzo vyake tutakuja kuviona katika safu hii.

CHANZO CHA TATIZO
Hali ya kusinyaa kwa viungo vya uzazi kwa mwanamke na mwanaume hutokana na kuwepo kwa msukumo hafifu wa damu sehemu hiyo, maambukizi sehemu za siri ambayo huwa ya muda mrefu hasa kaswende, hitilafu katika misuli ya uke na sehemu za siri za mwanaume inayoathiriwa na kaswende virusi vya HIV, ugonjwa wa kifua kikuu na hata baadhi ya magonjwa sugu ya ngozi. Matatizo mengine yanayochangia hali hii ni ugonjwa wa kisukari.

Matatizo katika mishipa ya damu vilevile huweza kusababishwa na magonjwa ya moyo au mishipa ya damu inayosambaa sehemu hizo. Misuli inaposinyaa kwa mwanamke nayo huweza kusababishwa na magonjwa kama tulivyoona, uke unasinyaa pia huweza kusababishwa na uzazi wa mara kwa mara na karibu kufanya ngono mara kwa mara na wanaume tofauti na hitilafu katika mfumo wa homoni.

Mwanamke anapata tatizo hili la kusinyaa uke endapo pia homoni au kichocheo cha Estrogen' kitakuwa kimepungua mwilini na kufanya mafuta yapungue ukeni. Kwa upande wa mwanaume homoni inayopungua kwa mwanaume ni Testosterone.

DALILI ZA TATIZO
Mwanaume mwenye tatizo hili hasa kijana, ingawa kwa wazee ni hali ya kawaida, kijana huanza kuona mfuko wa pumbu hulegea na kushuka sana, usinyaa na kujikunja kunja, kokwa huinekana ndogo na mishipa mikubwa ya damu huanza kujitokeza na mishipa mbegu toka katika kende huonekana wazi. Uume huwa kama wa mtoto mdogo na mishipa ya damu huchomoza wazi. Nguvu za kiume hupungua sana na endapo ukiweza tendo la ndoa la kwanza unawahi kumaliza na kushindwa kabisa kupata tendo la pili.

Mara kwa mara maandalizi kabla ya tendo la ndoa kwa mwanaume mwenye tatizo hili ni kuchezea sana uume kwa kuurusharusha au kuupiga piga kidogo kidogo ili kuamsha au kuhamasisha msukumo wa damu. Baada ya hapo uume huanza kusimama taratibu na endapo utasimama basi inabidi uwahi tendo na kama utachelewa, basi uume utalala na kushindwa tena kufanya tendo kwa siku hiyo.

Mwanamke yeye daima huwa mkavu na wakati wa tendo hapati hisia zozote hadi tendo linapokwisha na kama mwanaume hana tatizo lolote na mwenye nguvu za kutosha basi mwanamke atapata michubuko na maumivu na kuhisi karaha ya tendo na hawezi kufika kileleni.

UCHUNGUZI
Tatizo hili kama tulivyoona husababishwa na magonjwa mbalimbali, pia yapo matatizo na magonjwa mengine yanyochangia hali hii, magonjwa kama kisukari, endapo ugonjwa utakuwa wa muda mrefu unaweza kuathiri hali hii.

Tabia ya kujichua kwa mwanaume na mwanamke pia huweza kuathiri au kusababisha tatizo hili kama mtu atakuwa amejichua au kupiga punyeto kwa muda mrefu kwani msukumo wa damu sehemu za viungo vya uzazi utakuwa umeathiriwa.

Viungo vya uzazi vinaweza kupooza kutokana na hitilafu katika mishipa ya fahamu. Mishipa ya fahamu inapoathirika viungo hupooza (paralysis of genitalia) na mwanaume kushindwa kabisa kufanya tendo la ndoa na ukeni hakuna kabisa mawasiliano yanayoleta msisimko.

Vipimo vya damu na mkojo na vingine ambavyo daktari ataona vinafaa vitafanyika.

MATIBABU NA USHAURI
Tiba hutolewa kadiri daktari atakavyoona inafaa. Matibabu hutolewa katika kliniki za matatizo au magonjwa ya kinamama ambapo na kina baba hutibiwa matatizo haya.

Baada ya uchunguzi tiba itatolea kuona kama hitilafu ni maambukizo au katika mfumo wa homoni. Wahi hospitali kwa uchunguzi na tiba zaidi.
 
Habari zenu wana JF
nina rafiki yangu aliyeoa hivi karibuni miez 2 iliyopita. tatizo lake ni kila akifanya mapenz anaishia mabao mawili tu then uume unasinyaa jambo ambalo mke wake analalamika hatosheki na mwendo wa viwili. nilimshaur asifanye sex mfululizo angalau asubiri labda baada ya cku 3 au 5 ndo afanye but haijasaidia JE A2MIE VYAKULA GANI ILI ACWE NA TATIZO HILO?
 
kwanza pole kwa tatizo but kama ni wewe si useme tu usaidiwe?

By the way ...Tatizo hilo ni lakawaida na ijapokuwa hujaeleza uzito wa huyo rafiki yako but tiba yake ni kama ifuatavyo...Ikumbukwe kuwa ili uume au mboo isimame ni lazima pawepo na mtiririko mzuri wa damu kwa hiyo aanze kula vyakula kama mchicha,karanga,asali kikombe kimoja twice a day,samaki hasa pweza.But also ahakikishe anafanya mazoezi ya kukimbia walau kilomita mbili hii itasaidia mzunguko wa damu kuwa effective.. . .

Pia afanye mazoezi ya kegel ambayo yanajenga misuli ya uboo. Jinsi ya kufanya akae kwenye kiti alafu awe anaubana uume kwa atleast sekunde 30 kila apatapo muda. Umesema kuwa umemshauri apunguze mechi but I think siyo correct ili kuongoa kabisa hilo tatizo anatakiwa awe anafanya mapenzi walau mara 4 kwa wiki hii pia itasaidia kuweka mwili katika afya nzuri.

Lakini bao mbili ni nzuri pia kama atatumia muda kidogo kuhakikisha anafanya maandalizi ya kutosha.
 
asali kikombe kimoja twice a day,samaki hasa pweza
ndugu, asali kikombe kimoja is not healthy kabisaaaa, atajiharibu badala ya kujitibia....it's recommended hapo kwenye asali achanganye vijiko3 vya asali kwa kimoja cha mdalasini na atumie kutwa mara tatu....
na samaki raw oysters kiswahili chake nahis ni chaza...are the best ever wakiliwa wabichi...
hilo ni tatizo kwa wengi, kula kwa afya.
 
bao mbili huyo mke hatosheki??du kweli wanawake sio mchezo,,ni hizo bao mbili zinapigwaje baba????
 
dalili za kuwa joka la kibisa hizo....aje tumpe mbinu za medani kulaleki nishapiga valeur zangu mimi ..kulaleki mama gaude ni kujishikilia kwenye tendegu la kitatnda tu macho mekundu kama nyanyaa...staki dharau kabisa mimi kwenye mambo ya msingi yaliyonileta duniani
 
kwanza pole kwa tatizo but kama ni wewe si useme tu usaidiwe? By the way ...Tatizo hilo ni lakawaida na ijapokuwa hujaeleza uzito wa huyo rafiki yako but tiba yake ni kama ifuatavyo...Ikumbukwe kuwa ili uume au mboo isimame ni lazima pawepo na mtiririko mzuri wa damu kwa hiyo aanze kula vyakula kama mchicha,karanga,asali kikombe kimoja twice a day,samaki hasa pweza.But also ahakikishe anafanya mazoezi ya kukimbia walau kilomita mbili hii itasaidia mzunguko wa damu kuwa effective.. . .Pia afanye mazoezi ya kegel ambayo yanajenga misuli ya uboo. Jinsi ya kufanya akae kwenye kiti alafu awe anaubana uume kwa atleast sekunde 30 kila apatapo muda. Umesema kuwa umemshauri apunguze mechi but I think siyo correct ili kuongoa kabisa hilo tatizo anatakiwa awe anafanya mapenzi walau mara 4 kwa wiki hii pia itasaidia kuweka mwili katika afya nzuri. Lakini bao mbili ni nzuri pia kama ata tumia muda kidogo kuhakikisha anafanya maandalizi ya kutosha.

Hii kweli ni tiba mbadala nimejifunza hata ambavyo sikutarajia elimu haina mwisho. Thanks to jf and menny terry
 
dalili za kuwa joka la kibisa hizo....aje tumpe mbinu za medani kulaleki nishapiga valeur zangu mimi ..kulaleki mama gaude ni kujishikilia kwenye tendegu la kitatnda tu macho mekundu kama nyanyaa...staki dharau kabisa mimi kwenye mambo ya msingi yaliyonileta duniani
Mwe watu wana vituko
 
.......bao 2 kama umezicheza timely,i.e kama muda wa kuzifunga umekuwa timed vizuri/prolonged,si haba sana unless huyo mke awe na kifafa cha ngono!!
 
Kama anaona anapiga bao mapema ni vyema anapokaribia kileleni achomoe mzee kidogo ili arudi katika normal level.unaweza kuzuga kama unabadilisha style ila unampumzisha mzee kidogo
 
Kunywa maji hai ama biowater utashangaa mwenyewe. Hata ingekuwa hata hizo mbili huwezi ungeanza. nunua bio disc kutoka kampuni ya qnet. Nitafute kwa private mail.
UNIQUE
 
Mh! hapo kaka unafanya biashara! kweli watu humu ndani mna vituko. valeu ndiyo tiba mbadala ya jogoo kutosinyaa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom