Uuh.. Huyu msichana mpya hapa ofisini...

Thank Mr R. Unajua saa ingine huwezi kukwepa majaribu... mke wangu ni mzuri kuliko hata huyu mdada... ila she is acting strange... naamini ni upepo tu utapita... kana mwezi wa pili sasa ofisini... kuna vijana wenzake hapa lakini hajishughulishi nao. Ila kukamega siwezi kabisa bora nitafute kazi sehemu ingine.

Nakuhakikishia hapo kwenye red hapo, ni kwa sababu una vijisent vya kutosha ndo mana anakuhangaikia.
 
Aiseee... ni mzuri balaaa asikuambie mtu. Nikizungusha kiti nakutana na mgongo wake.
Anavaa kimini...ananukia vizuri... blauzi yake inabana matiti yake makubwa kiasi kama yanatokea kwa juu... ni chocolate colour.. anapaka mafuta yaani mapaja yanameremetaaaa..
Mbaya zaidi madam bosi amemleta department moja na mimi hivyo kila kitu kikimtatiza kidogo tu anazunguka na kiti alafua anakiendesha mpaka pembeni yangu...imagine jamani anasogea karibu kabisa ananigusa na mapaja yake alafu wakati namwonyesha kitu kwenye monitor anakua kama analean..lalakwa kwa mbele hivi, hivyo ananigusa na manyonyo yake malaini, alafu anaongelea masikioni mwangu.
Nafikiri anaelewa ananitesa maana kila akifanya hivyo huwa natoka jasho alafu nahisi atakua anasikia moyo wangu unavyodunda kwanguvu. Eti lunch mpaka twende naye.. nikiagiza ofisini na yeye anaagiza..nikinyanyuka kama ni lunch time ananiwai nisubiri twende wote.....katika maisha yangu ya ndoa sijawai kupata mtego mbaya kama huu.
Eee mola nisaidie.

kaka linda sana mmoyo wako kuliko vyote ulindavyo na pia jua kuwa ulikula kiapo juu ya mke wako wa halali sasa hao wanaokuja hujui katoka wapi na anlengo gani na wewe hana hata aibu mwambiie shetani rudi nyuma
 
Nakuelewa mkuu Sarikoki, majaribu ofisini ni Mengi hasa kwa hawa mabinti. Pia kuna tatizo moja ambalo wakati mwingine sie tuliooa tunakumbana nalo. Unakuta mke unae tena mrembo tu sana ila kila akifika home amechoka mbaya sababu ya kazi na foleni, ukiomba mamboz anakuambia ngoja watoto walale. Wakishalala unakuta nae anakoroma coz of uchovu. Hapo siku imetoka!. Inapita wiki nzima hujagusa kitu!! Unambembeleza lakini wapi! sana sana atakuambia ngoja Jumamosi au Jumapili. Isitoshe, wanawake wengine ni low libido kwa hiyo hawapendi kufanya mamboz!! Sasa katika hali hiyo, utakuta wanaume wanaangukia nyumba ndogo ya kupoozea ashki, utalaumu wanaume kweli?

Mkuu hapa umemaliza hili linatugusa wengi sana ili kupunguza stress home inakubidi uangalie ustaarabu mwingine.
 
Je anaenda choo au hapo Ofisini hakuna mchunguze, MUNGU kaumba wote sawa, Mwl wangu wa Sociology alinifundisha mwanamke mzuri duniani ni yule uliyenae anayekujali nakukuhudumia kwani umesema upo katika Ndoa.
Piga C..ndom ipo siku kitalia na ww utalia na mke tu yeye hatakuja asilani hapo wodini kukugeuza na kuku...mba .av....
Funguka achana na hivyo vinyamkera tafuta Bum hata la kupiga hapo ofisini mhonge hata kiasi cha GX 100 halafu test harufu ileile!!! km hukujutia Chiaooooo
 
tatizo la mabinti wenye mbwembwe nyingi kama hao unaweza ukala mzigo and then ukaanza kujuta kwamba she wasn't worth all the efforts kwa jinsi mzigo wenyewe ulivyokuwa so sub-standard
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom