Uuh.. Huyu msichana mpya hapa ofisini...

sarikoki

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
1,194
721
Aiseee... ni mzuri balaaa asikuambie mtu. Nikizungusha kiti nakutana na mgongo wake.
Anavaa kimini...ananukia vizuri... blauzi yake inabana matiti yake makubwa kiasi kama yanatokea kwa juu... ni chocolate colour.. anapaka mafuta yaani mapaja yanameremetaaaa..
Mbaya zaidi madam bosi amemleta department moja na mimi hivyo kila kitu kikimtatiza kidogo tu anazunguka na kiti alafua anakiendesha mpaka pembeni yangu...imagine jamani anasogea karibu kabisa ananigusa na mapaja yake alafu wakati namwonyesha kitu kwenye monitor anakua kama analean..lalakwa kwa mbele hivi, hivyo ananigusa na manyonyo yake malaini, alafu anaongelea masikioni mwangu.
Nafikiri anaelewa ananitesa maana kila akifanya hivyo huwa natoka jasho alafu nahisi atakua anasikia moyo wangu unavyodunda kwanguvu. Eti lunch mpaka twende naye.. nikiagiza ofisini na yeye anaagiza..nikinyanyuka kama ni lunch time ananiwai nisubiri twende wote.....katika maisha yangu ya ndoa sijawai kupata mtego mbaya kama huu.
Eee mola nisaidie.
 
Kama nakusikilizia vile unavyohema, Funga ofisi umalize kazi bhana.......:wacko:
 
Aisee... kama ningekua na uwezo ningeomba likizo ila ndo kwanza nimerudi... nataka nifate madam amtoe hapa bwana.. maana ni kama kana sumaku vile
 
Namaana jifungieni kwa ndani ulambe kimoko bhana.....:wacko:
 
duh! kwel ndugu uko tutan..nadhan turejee magotini tukaombe hapa.hapa ni msaada kutoka juu aisee lets pray together kulishinda hili tupe updates zaid,binafsi naamin pamoja tutashinda.fanya hivi tafuta weekend moja uende na wife mkaa pamoja kama siku moja mbili hivi mfanye kama honey mooney for two days inatosha just you and your wife ita revive mapenzi yako na wyf wako..all the best chief!
 
Na wewe unakubali kabisa kuanguka kwenye mtego wakati unaona kabisa mtego huo
Na Siku ukianguka utamlaumu shetani eti kuwa alikupitia kidogo
Naona hapo utakuwa unamsingizia shetani hana kosa mwenye kosa ni wewe na tamaa zako
Kwa nini usichukue muda kumsifia mkeo na kumuelezea haya uliyoyaeleza kwa huyu dada
Ina maana mkeo hujawahi kumpa sifa kama hizi maana ungekuwa umempa sifa zote hizi wala usingeona huyo dada ni mali kitu mbele ya mkeo
Ila kwa kuwa tamaa zimekujaa na unataka umsaliti mkeo unachukua muda wako kutunga haya ya kumsifia mtu mwingine kabisa ambaye wala sio mkeo
Usianguke chukua muda mfikirie mkeo na muone kuwa yeye ni zaidi ya huyo dada na ana kila sababu ya kuwa mzuri zaidi ya huyo dada
Sikatai kuadmire kupo ila kataa hizo mbinu zinazotaka kuchukua nafasi ya mkeo
 
Aiseee... ni mzuri balaaa asikuambie mtu. Nikizungusha kiti nakutana na mgongo wake.
Anavaa kimini...ananukia vizuri... blauzi yake inabana matiti yake makubwa kiasi kama yanatokea kwa juu... ni chocolate colour.. anapaka mafuta yaani mapaja yanameremetaaaa..
Mbaya zaidi madam bosi amemleta department moja na mimi hivyo kila kitu kikimtatiza kidogo tu anazunguka na kiti alafua anakiendesha mpaka pembeni yangu...imagine jamani anasogea karibu kabisa ananigusa na mapaja yake alafu wakati namwonyesha kitu kwenye monitor anakua kama analean..lalakwa kwa mbele hivi, hivyo ananigusa na manyonyo yake malaini, alafu anaongelea masikioni mwangu.
Nafikiri anaelewa ananitesa maana kila akifanya hivyo huwa natoka jasho alafu nahisi atakua anasikia moyo wangu unavyodunda kwanguvu. Eti lunch mpaka twende naye.. nikiagiza ofisini na yeye anaagiza..nikinyanyuka kama ni lunch time ananiwai nisubiri twende wote.....katika maisha yangu ya ndoa sijawai kupata mtego mbaya kama huu.
Eee mola nisaidie.

Jaribu kumshirikisha mkeo haya yote uliyomwaga hapa. I bet utapata muarobaini wa tatizo hili.
 
  • Thanks
Reactions: Awo
bado hujamaliza tu ngoja aje mjanja hapo ofisini amchukue alafu urudi tena kutuhadithia
 
Na wewe unakubali kabisa kuanguka kwenye mtego wakati unaona kabisa mtego huo
Na Siku ukianguka utamlaumu shetani eti kuwa alikupitia kidogo
Naona hapo utakuwa unamsingizia shetani hana kosa mwenye kosa ni wewe na tamaa zako
Kwa nini usichukue muda kumsifia mkeo na kumuelezea haya uliyoyaeleza kwa huyu dada
Ina maana mkeo hujawahi kumpa sifa kama hizi maana ungekuwa umempa sifa zote hizi wala usingeona huyo dada ni mali kitu mbele ya mkeo
Ila kwa kuwa tamaa zimekujaa na unataka umsaliti mkeo unachukua muda wako kutunga haya ya kumsifia mtu mwingine kabisa ambaye wala sio mkeo
Usianguke chukua muda mfikirie mkeo na muone kuwa yeye ni zaidi ya huyo dada na ana kila sababu ya kuwa mzuri zaidi ya huyo dada
Sikatai kuadmire kupo ila kataa hizo mbinu zinazotaka kuchukua nafasi ya mkeo

Thank Mr R. Unajua saa ingine huwezi kukwepa majaribu... mke wangu ni mzuri kuliko hata huyu mdada... ila she is acting strange... naamini ni upepo tu utapita... kana mwezi wa pili sasa ofisini... kuna vijana wenzake hapa lakini hajishughulishi nao. Ila kukamega siwezi kabisa bora nitafute kazi sehemu ingine.
 
Aiseee... ni mzuri balaaa asikuambie mtu. Nikizungusha kiti nakutana na mgongo wake.
Anavaa kimini...ananukia vizuri... blauzi yake inabana matiti yake makubwa kiasi kama yanatokea kwa juu... ni chocolate colour.. anapaka mafuta yaani mapaja yanameremetaaaa..
Mbaya zaidi madam bosi amemleta department moja na mimi hivyo kila kitu kikimtatiza kidogo tu anazunguka na kiti alafua anakiendesha mpaka pembeni yangu...imagine jamani anasogea karibu kabisa ananigusa na mapaja yake alafu wakati namwonyesha kitu kwenye monitor anakua kama analean..lalakwa kwa mbele hivi, hivyo ananigusa na manyonyo yake malaini, alafu anaongelea masikioni mwangu.
Nafikiri anaelewa ananitesa maana kila akifanya hivyo huwa natoka jasho alafu nahisi atakua anasikia moyo wangu unavyodunda kwanguvu. Eti lunch mpaka twende naye.. nikiagiza ofisini na yeye anaagiza..nikinyanyuka kama ni lunch time ananiwai nisubiri twende wote.....katika maisha yangu ya ndoa sijawai kupata mtego mbaya kama huu.
Eee mola nisaidie.

Ana Ngoma.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Heh kumbe uko kwenye ndoa!! Mkeo analo, aniways nimependa style yako ya uandishi inavutia kusoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom