cold water
Senior Member
- Oct 6, 2021
- 175
- 618
Habari!!!! Naomba kujua mnatunza vipi vyakula kwenye friji ili visiharibike? Mfano; samaki,nyama,nyanya,karoti,matunda,na mboga mboga? Je? Mnawasha friji kila siku bila kulipumzisha,au mnawasha kwa mda tu na kuzima?