Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 2,458
- 2,183
Kama mnyama amechinjwa kisawasawa, nyama yake inakuwa haina damu (inakuwa imechuruzika yote). Na kama mnyama amechunwa bila kugusa sehemu chafu, nyama yake ipo safi haitakiwi kuoshwa na inakuwa tayari kwa kupikwa/kuchomwa au kuliwa ikiwa mbichi (kuna wanaokula nyama mbichi). Kuosha kunapunguza ladha.Kwanini
Ila nyama inayochinjwa katika mazingira yasiyo masafi na kukatiwa kwenye gogo jeusi/chafu, yafaa ioshwe.
Hata mchele uliokobolewa katika mazingira masafi, yafaa kupepetwa na kuondoa pumba tu, na upikwe bila kuosha.
Na vyakula vingi vyenye maganda, ukiishaondoa ganda, kilichopo ndani hakitakiwi kuoshwa kama hakijachafuliwa.