Utumishi wametoa majina ya walioitwa kazini

Hongera sana chuo kikuu mzumbe kwa kuonesha ubabe ktk soko la ajira ktk fani za fedha uhasibu na sayansi ya uongozi

wale wapondaji nadhani mnajionea
 
Hongera sana chuo kikuu mzumbe kwa kuonesha ubabe ktk soko la ajira ktk fani za fedha uhasibu na sayansi ya uongozi

wale wapondaji nadhani mnajionea

Mkuu kwahiyo wale woote waliotwa kazini kwa hizo kada wanatoka hicho chuo tajwa?
 
Econometrician# ha ha haaaaa.....yaani umenifanya nicheke sana, huyu jamaa kweli anazingua analeta mashindano ya Vyuo, anyway its not bad kama Mzumbe imetoa candidates wengi hapo bt isiwe kitu cha kukejeli Vyuo vingine japo is not true kwamba wote ni kutoka Mzumbe.
 
Last edited by a moderator:

Jomba utaniwia radhi ila sikuwa na maana ya kuleta ushindan wa vyuo... Ila nilikuwa najibu tu pigo la jamaa aliyeweka mada ya kuponda chuo kikuu mzumbe kwa week mbili mfululizo ilikuwa inajadiliwa.. Nadhan soko la ajira linaweza kureflect uhalisia wa chuo hiki katka fani za uhasibu,fedha na sayansi ya uongozi
 
Last edited by a moderator:
Huyu kama kasoma elimu yake haijamkomboa ana mambo ya kitoto Mungu na wanajamvi tumsamehe jamani.
 
We cjui umetoka pori gani!wameandika wapi kuwa hao ni graduates wa mzumbe?
 
Back
Top Bottom