Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,031
Jaribio la Jinsi Mawazo na Maneno Yalivyo na Athari Kwa Watu na Vitu Vingine na MAFANIKIO YAKO:
Ukweli ni kuwa MAWAZO yako na chochote unachofikiri kinaweza KUSABABISHA (CAUSE & EFFECT).
Katika jaribio la wali uliopikwa ambao uligawanywa katika Containers mbili - na kisha ukawa unaambiwa maneno mazuri ya UPENDO haukuharibika au uliharibika kidogo katika kipindi cha majaribio, wakati ule ulioambiwa maneno mabaya ya CHUKI uliharibika upesi na kwa kiwango kikubwa.
Unaweza kujaribu experiment hii mwenyewe na ukaja ukatuletea matokeo hapa.
Ukweli ni kuwa mawazo yako na maneno yako YANASABABISHA. (They can CAUSE. They have an EFFECT).
Kuna NGUVU au ENERGY katika MAWAZO yako. Mawazo yako husababisha EMOTIONS au Hisia. Na hisia ni ENERGY zinazosababisha VIBRATIONS ya ATOMS katika mwili wako ambazo ndizo zinatengeneza BODY CELLS. ATOMS ndiyo the SMALLEST BUILDING BLOCK in your body.
MAWAZO yako yanasababisha UHALISIA au REALITY.
Unaweza kufanikiwa katika jambo lolote ili mradi tu uliwaze au kulifikiria kwa hisia sana na ku-assume kuwa tayari hicho kitu unacho. Ukifanya hivyo kwa IMANI utakuwa Unatuma ENERGY inayoonyesha kuwa kitu hicho unacho na hivyo opportunity ya wewe kupata hicho kitu inajitokeza.
Kwa wale ambao hawakubahatika kuhudhuria Semina zilizopita last week, usikose semina zetu za Mwezi July 2014 ambazo zitabadili kabisa maisha yako.
Maswali na critics zinakaribishwa!

Last edited by a moderator: