Uteuzi Waziri Mkuu mtihani mkubwa kwa Rais na chama chake

Makamba ni kundi la wafanya biashara wakwepa kodi kama vodacom chini ya rostam.siunajua dada yake yuko voda.sasa october akiwa waziri mkuu basi magufuri atafeli vibaya.atafute watendaji wengine mbona wapo wengi.hawa vijana aknia october na michemde wapewe wizara kama mawziri
 
really?? January awe PM?? btw huo utendaji wa makamba ni upi, mi hata sijui amefanya la maana lipi hapa nchini..

yan huyu dogo, ZZK, MWIGULU ni watu ambao wanapenda sana madaraka lakn hawana ubora huo wa kuweza kushika madaraka wanayotaka!! its a shame

nilijua lazima utamtaja tu zzk but wewe wakusamehewa tu kwani tangu dada yako alipofulumushwa mjini na kukatiza ndoto zako za kuishi mjini umekuwa na gubu kweli kama mwanamke mwenye kifafa cha mimba hivi!?
 
Wewe Marope ndo umepost huu ujinga, una kiherehere sana, hata uwaziri huwezi mtoto mdogo na unapenda kujikosha. Kwa huruma ya kuchakachua kura za ukawa utabahatisha naibu waziri wa michezo, mziki na ngoma za kienyeji

marope ndo nani mkuu??
 
Wengi wanasubiri nani atateuliwa kushika nafasi ya waziri mkuu katika serikali hii ya awamu ya tano.

Huu ni mtihani mkubwa kwa raisi maana hiyo ndiyo dira yake ya kwanza katika kutimiza deni kubwa au shauku kubwa iliyojengeka kwake kutokana na yale aliyowaahidi watanzania.

Huu mtihani mkubwa kwa chama cha mapinduzi maana chama kinahitaji kuandaa watu wa kukibeba kesho.

Uteuzi huu wa waziri mkuu unaweza kukizi mahitaji yote mawili katika mtu mmoja ndio mtihani mkubwa unaomkabili raisi na chama chake.

Kila mmoja ana mtizamo wake lakini ingekuwa ni vyema kuweka vigezo kwanza alafu kuangalia nani mwenye sifa za kutosha katika vigezo.

Kwa mtizamo wangu vigezo vya kumpata waziri mkuu ni hivi hapa.

1. Kwa kuwa uongozi bora una mambo makuu mawili moja ni usimamizi mzuri na pili ni mipango mizuri, hapa raisi na chama wanatakiwa kuangalia raisi aliyekwisha kuchaguliwa yeye ana karama ipi katika hilo na kumilisha uongozi kwa kuteua waziri mkuu mwenye karama ya pili.Bila kumumunya maneno hapa kwangu mimi naona rais ana karama ya kuwa msimamiaji mzuri kwa maana amewasimamia wakandarasi na wizara yake vizuri ila raisi huyu anakosa karama ya mipango mizuri maana wizara yake inatumia wakandarasi wengi sana kutoka nje ya nchi na kuishia kuongea tu kutumia wakandarasi wazalendo jambo ambalo lina athari kubwa sana kiuchumi kwa nchi yetu. Katika kutekeleza miradi tunatekeleza miradi mingi kwa kuwakopa wakandarasi na taifa kupata hasara sana kwa riba zilizoko katika mikataba ya ujenzi.

Nikirudi katika watangaza nia wote kwangu mimi ninaona makamba ndiye alikuwa kinara katika kupanga hivyo anakuwa katika nafasi nzuri ya kumkamilisha rais katika uongozi.

Itakuwa kosa kubwa sana kumchukua mwanasiasa mwenye karama kama ya rais kuwa waziri mkuu kwa maana mmoja wao atabaki kuwa redundant huku uongozi ukijikita katika field work na awamu ya tano inaweza kutokufanya vizuri kutokana na kukosa mipango mizuri.

Wapo wengi wanatajwa ambao kimsingi kwa mtizamo wangu hawana sifa ukifuatilia utendaji wao walitaka kumuiga raisi lakini wakashindwa kwa maana ukienda benki ukamkuta meneja ameshika mfagio anafagia huwezi kumsifia kwa kuchapa kazi bali utamshangaa kwa kutotambua majukumu yake.

Wengi wanaotajwa mtu amepewa wizara, watendaji wa wizara hawafanyi chochote bali yeye ni kuchukua mafasi ya utendaji wa chini na kuzunguka akifanya kazi za maofisa wa chini.

Waziri tunamtathmini kwa utendaji wa wizara yake lakini wengi wanafanya promotional work za kuwapandisha kisiasa na kuacha majukumu yao ya uwaziri. Rais katika supervision is namba 1 katika nchi yetu kutokana output za wizara yake kutoka kwa watendaji na yeye kuonekana mstari wa mbele kusimamia watendaji.

2. Kwa kuwa upo msemo unaosema viongozi huandaliwa basi katika kuchagua nani akamate nafasi ipi ni lazima dhana hii ikumbukwe. Na hapa unaweza kugundua kuwa watu wenye umri wa kati ambao wamefanikiwa kupata uzoefu wa kutosha katika umri huo na kuonekana uwezekano wa kuwa watendaji wazuri kupewa nafasi zaidi kama watu wanaoweza kutimiza majukumu yao ya sasa kwa ufanisi lakini wakati huo wakiandaliwa kwa majukumu makubwa zaidi kwa wakati ujao. kwa macho yangu ya haraka bado naona makamba amekaa vizuri kubeba majukumu ya sasa na kuwa hazina nzuri kwa taifa kesho.

3. Mbinu za kimawasiliano katika utendaji. katika hili ni lazima tufikirie mawasiliano baina ya raisi na waziri mkuu wake. katika hili wengi wanaopendekezwa utaona rais akitumia lugha ya ukali kutokana na status zao na age yao inaweza kutafsirika kama insult na mara nyingi viongozi wamekuwa wakitumia busara kuwaagiza walio chini yao kwa kuwaomba na sio kuwaagiza.Kwa nature ya rais ya ukali anatakiwa kuwa na waziri mkuu ambaye yuko tayari kuchukua maagizo kwa upole na kwa ukali na makamba anafit hapa kutokana na age difference lakini pia kutokana na kuwa yeye hajawa na status ya juu sana ya kuagizwa na rais ikaonekana kama rais anashusha status yake na pia kutoka na age atafuata maagizo ya raisi na sio kufanya ya kwake.

Lakini pia Makamba anaonekana kuwa na confidence sana kwa kutoogopa mtu hivyo yeye akipewa cheo atamuagiza yeyot

Katika ma-super star wanaong'aa kwenye siasa za bongo za miaka hii, yaani hapa nawazungumzia viongozi vijana wanaochipukia kwa kasi sana - akina Mwigulu Nchemba, Dr Hamisi Kigwangala na Januari Makamba, mimi ni mshabiki sana wa Mwigulu na Dr Kigwangala, kwa sababu nyepesi sana, hawa ni watoto wa maskini wasio na historia ya kubebwa bebwa, wala waliotokana na majina ya wazazi wao kuwa viongozi wakubwa nchini na hivo kupewa nafasi za uongozi kwa fadhila na heshma za wazazi wao.

Maana naamini kama una nafasi ya kuchagua kati ya kigwa na makamba, ama mwigulu na makamba, utapata shida sana kumu-endorse makamba kwa uwezo wake kiuhalisia, sababu ni aliyefika hapo alipo kwa mbeleko ya jina lake na mtandao wa baba yake. wazi kabisa hajaonesha struggle kutokea chini kabisa kama hao wengine wawili, ambao wamejibeba kwa uwezo na uchapakazi wao binafsi bila majina ya wazazi wao kuwabeba.

kwa mtazamo wangu, kama anayehitajika ni waziri mkuu kijana, basi mamlaka za uteuzi zinatakiwa ziangalie kati ya hawa wawili, mwigulu na Kigwangala, ambapo Mwigulu atakuwa juu ya Kigwangala kwa CV maana ameishajaribiwa mara nyingi zaidi kwenye miaka mitano iliyopita na amefanya vizuri, na walau kidogo amekuwa kwenye serikali kama Naibu waziri fedha, kigwangala hajawahi, zaidi ya kuchota uzoefu wa kutosha kama Mwenyekiti wa kamati ya TAMISEMI ambayo inaisimamia ofisi ya waziri mkuu.

Makamba hata kwa uzoefu tu hatoshi, maana wizara ya mawasiliano (waziri mdogo) ni finyu sana na haupati ule uzoefu wa kuijua nchi kiasi cha kuwa waziri mkuu. bora hata tena hata Kigwangala aliyefanya kazi na halmashauri zote nchini, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, kama mwenyekiti wa tamisemi.
 
Wengi wanasubiri nani atateuliwa kushika nafasi ya waziri mkuu katika serikali hii ya awamu ya tano.
I
Huu ni mtihani mkubwa kwa raisi maana hiyo ndiyo dira yake ya kwanza katika kutimiza deni kubwa au shauku kubwa iliyojengeka kwake kutokana na yale aliyowaahidi watanzania.

Huu mtihani mkubwa kwa chama cha mapinduzi maana chama kinahitaji kuandaa watu wa kukibeba kesho.

Uteuzi huu wa waziri mkuu unaweza kukizi mahitaji yote mawili katika mtu mmoja ndio mtihani mkubwa unaomkabili raisi na chama chake.

Kila mmoja ana mtizamo wake lakini ingekuwa ni vyema kuweka vigezo kwanza alafu kuangalia nani mwenye sifa za kutosha katika vigezo.

Kwa mtizamo wangu vigezo vya kumpata waziri mkuu ni hivi hapa.

1. Kwa kuwa uongozi bora una mambo makuu mawili moja ni usimamizi mzuri na pili ni mipango mizuri, hapa raisi na chama wanatakiwa kuangalia raisi aliyekwisha kuchaguliwa yeye ana karama ipi katika hilo na kumilisha uongozi kwa kuteua waziri mkuu mwenye karama ya pili.Bila kumumunya maneno hapa kwangu mimi naona rais ana karama ya kuwa msimamiaji mzuri kwa maana amewasimamia wakandarasi na wizara yake vizuri ila raisi huyu anakosa karama ya mipango mizuri maana wizara yake inatumia wakandarasi wengi sana kutoka nje ya nchi na kuishia kuongea tu kutumia wakandarasi wazalendo jambo ambalo lina athari kubwa sana kiuchumi kwa nchi yetu. Katika kutekeleza miradi tunatekeleza miradi mingi kwa kuwakopa wakandarasi na taifa kupata hasara sana kwa riba zilizoko katika mikataba ya ujenzi.

Nikirudi katika watangaza nia wote kwangu mimi ninaona makamba ndiye alikuwa kinara katika kupanga hivyo anakuwa katika nafasi nzuri ya kumkamilisha rais katika uongozi.

Itakuwa kosa kubwa sana kumchukua mwanasiasa mwenye karama kama ya rais kuwa waziri mkuu kwa maana mmoja wao atabaki kuwa redundant huku uongozi ukijikita katika field work na awamu ya tano inaweza kutokufanya vizuri kutokana na kukosa mipango mizuri.

Wapo wengi wanatajwa ambao kimsingi kwa mtizamo wangu hawana sifa ukifuatilia utendaji wao walitaka kumuiga raisi lakini wakashindwa kwa maana ukienda benki ukamkuta meneja ameshika mfagio anafagia huwezi kumsifia kwa kuchapa kazi bali utamshangaa kwa kutotambua majukumu yake.

Wengi wanaotajwa mtu amepewa wizara, watendaji wa wizara hawafanyi chochote bali yeye ni kuchukua mafasi ya utendaji wa chini na kuzunguka akifanya kazi za maofisa wa chini.

Waziri tunamtathmini kwa utendaji wa wizara yake lakini wengi wanafanya promotional work za kuwapandisha kisiasa na kuacha majukumu yao ya uwaziri. Rais katika supervision is namba 1 katika nchi yetu kutokana output za wizara yake kutoka kwa watendaji na yeye kuonekana mstari wa mbele kusimamia watendaji.

2. Kwa kuwa upo msemo unaosema viongozi huandaliwa basi katika kuchagua nani akamate nafasi ipi ni lazima dhana hii ikumbukwe. Na hapa unaweza kugundua kuwa watu wenye umri wa kati ambao wamefanikiwa kupata uzoefu wa kutosha katika umri huo na kuonekana uwezekano wa kuwa watendaji wazuri kupewa nafasi zaidi kama watu wanaoweza kutimiza majukumu yao ya sasa kwa ufanisi lakini wakati huo wakiandaliwa kwa majukumu makubwa zaidi kwa wakati ujao. kwa macho yangu ya haraka bado naona makamba amekaa vizuri kubeba majukumu ya sasa na kuwa hazina nzuri kwa taifa kesho.

3. Mbinu za kimawasiliano katika utendaji. katika hili ni lazima tufikirie mawasiliano baina ya raisi na waziri mkuu wake. katika hili wengi wanaopendekezwa utaona rais akitumia lugha ya ukali kutokana na status zao na age yao inaweza kutafsirika kama insult na mara nyingi viongozi wamekuwa wakitumia busara kuwaagiza walio chini yao kwa kuwaomba na sio kuwaagiza.Kwa nature ya rais ya ukali anatakiwa kuwa na waziri mkuu ambaye yuko tayari kuchukua maagizo kwa upole na kwa ukali na makamba anafit hapa kutokana na age difference lakini pia kutokana na kuwa yeye hajawa na status ya juu sana ya kuagizwa na rais ikaonekana kama rais anashusha status yake na pia kutoka na age atafuata maagizo ya raisi na sio kufanya ya kwake.

Lakini pia Makamba anaonekana kuwa na confidence sana kwa kutoogopa mtu hivyo yeye akipewa cheo atamuagiza yeyot

Makamba No..!! big NO
 
Kigwangala for PM no, Makamba for PM no, Mwigulu for PM no...wote hawa bado bado

wapewe Wizara kamili wafanye kazi kwanza wachote uzoefu.

Dr Hamisi Kigwangala - Waziri wa Afya au tamisemi, au Uchukuzi

mwigulu ncehmba - Waziri wa Fedha, au Kilimo

January Makamba - Waziri wa Afrika Mashariki au Mambo ya Nje
 
nilijua lazima utamtaja tu zzk but wewe wakusamehewa tu kwani tangu dada yako alipofulumushwa mjini na kukatiza ndoto zako za kuishi mjini umekuwa na gubu kweli kama mwanamke mwenye kifafa cha mimba hivi!?

ivi unanijua mimi???? khaaaa yan unapretend kumfaham mtu via JF? :( well endelea kuona chongo ni makengeza!!
 
Wengi wanasubiri nani atateuliwa kushika nafasi ya waziri mkuu katika serikali hii ya awamu ya tano.

Huu ni mtihani mkubwa kwa raisi maana hiyo ndiyo dira yake ya kwanza katika kutimiza deni kubwa au shauku kubwa iliyojengeka kwake kutokana na yale aliyowaahidi watanzania.

Huu mtihani mkubwa kwa chama cha mapinduzi maana chama kinahitaji kuandaa watu wa kukibeba kesho.

Uteuzi huu wa waziri mkuu unaweza kukizi mahitaji yote mawili katika mtu mmoja ndio mtihani mkubwa unaomkabili raisi na chama chake.

Kila mmoja ana mtizamo wake lakini ingekuwa ni vyema kuweka vigezo kwanza alafu kuangalia nani mwenye sifa za kutosha katika vigezo.

Kwa mtizamo wangu vigezo vya kumpata waziri mkuu ni hivi hapa.

1. Kwa kuwa uongozi bora una mambo makuu mawili moja ni usimamizi mzuri na pili ni mipango mizuri, hapa raisi na chama wanatakiwa kuangalia raisi aliyekwisha kuchaguliwa yeye ana karama ipi katika hilo na kumilisha uongozi kwa kuteua waziri mkuu mwenye karama ya pili.Bila kumumunya maneno hapa kwangu mimi naona rais ana karama ya kuwa msimamiaji mzuri kwa maana amewasimamia wakandarasi na wizara yake vizuri ila raisi huyu anakosa karama ya mipango mizuri maana wizara yake inatumia wakandarasi wengi sana kutoka nje ya nchi na kuishia kuongea tu kutumia wakandarasi wazalendo jambo ambalo lina athari kubwa sana kiuchumi kwa nchi yetu. Katika kutekeleza miradi tunatekeleza miradi mingi kwa kuwakopa wakandarasi na taifa kupata hasara sana kwa riba zilizoko katika mikataba ya ujenzi.

Nikirudi katika watangaza nia wote kwangu mimi ninaona makamba ndiye alikuwa kinara katika kupanga hivyo anakuwa katika nafasi nzuri ya kumkamilisha rais katika uongozi.

Itakuwa kosa kubwa sana kumchukua mwanasiasa mwenye karama kama ya rais kuwa waziri mkuu kwa maana mmoja wao atabaki kuwa redundant huku uongozi ukijikita katika field work na awamu ya tano inaweza kutokufanya vizuri kutokana na kukosa mipango mizuri.

Wapo wengi wanatajwa ambao kimsingi kwa mtizamo wangu hawana sifa ukifuatilia utendaji wao walitaka kumuiga raisi lakini wakashindwa kwa maana ukienda benki ukamkuta meneja ameshika mfagio anafagia huwezi kumsifia kwa kuchapa kazi bali utamshangaa kwa kutotambua majukumu yake.

Wengi wanaotajwa mtu amepewa wizara, watendaji wa wizara hawafanyi chochote bali yeye ni kuchukua mafasi ya utendaji wa chini na kuzunguka akifanya kazi za maofisa wa chini.

Waziri tunamtathmini kwa utendaji wa wizara yake lakini wengi wanafanya promotional work za kuwapandisha kisiasa na kuacha majukumu yao ya uwaziri. Rais katika supervision is namba 1 katika nchi yetu kutokana output za wizara yake kutoka kwa watendaji na yeye kuonekana mstari wa mbele kusimamia watendaji.

2. Kwa kuwa upo msemo unaosema viongozi huandaliwa basi katika kuchagua nani akamate nafasi ipi ni lazima dhana hii ikumbukwe. Na hapa unaweza kugundua kuwa watu wenye umri wa kati ambao wamefanikiwa kupata uzoefu wa kutosha katika umri huo na kuonekana uwezekano wa kuwa watendaji wazuri kupewa nafasi zaidi kama watu wanaoweza kutimiza majukumu yao ya sasa kwa ufanisi lakini wakati huo wakiandaliwa kwa majukumu makubwa zaidi kwa wakati ujao. kwa macho yangu ya haraka bado naona makamba amekaa vizuri kubeba majukumu ya sasa na kuwa hazina nzuri kwa taifa kesho.

3. Mbinu za kimawasiliano katika utendaji. katika hili ni lazima tufikirie mawasiliano baina ya raisi na waziri mkuu wake. katika hili wengi wanaopendekezwa utaona rais akitumia lugha ya ukali kutokana na status zao na age yao inaweza kutafsirika kama insult na mara nyingi viongozi wamekuwa wakitumia busara kuwaagiza walio chini yao kwa kuwaomba na sio kuwaagiza.Kwa nature ya rais ya ukali anatakiwa kuwa na waziri mkuu ambaye yuko tayari kuchukua maagizo kwa upole na kwa ukali na makamba anafit hapa kutokana na age difference lakini pia kutokana na kuwa yeye hajawa na status ya juu sana ya kuagizwa na rais ikaonekana kama rais anashusha status yake na pia kutoka na age atafuata maagizo ya raisi na sio kufanya ya kwake.

Lakini pia Makamba anaonekana kuwa na confidence sana kwa kutoogopa mtu hivyo yeye akipewa cheo atamuagiza yeyot

Huyu makamba atueleze kwanza Deo yuko wapi ndipo mfikirie kumpa hizo nafasi
 
Hivi CCM huko watu wameisha mpaka watajwe na hawa madogo kwenye uwaziri mkuu kweli? Kigwangala, Mwigulu na Makamba wanafaa kwenye kupewa wizara lakini siyo uwaziri mkuu jamani.
 
Prof. Muhongo kama akiteuliwa kuwa pm atakuwa msaada sana
kwa serikali hii, amezunguukwa na ukweli.
 
Magufuli anaongozwa na vigezo kadhaa za kumchagua PM. Kimojawapi ni jiografia ya nchi na kuondoa dhana ya ukanda. Hivyo, kura yangu inaenda kwa Mwakyembe au Lukuvi
 
Hivi watanganyika mnaakili au Makamasi eti...Makamba kwahiyo NCHI hii niyahao tu
 
Wengi wanasubiri nani atateuliwa kushika nafasi ya waziri mkuu katika serikali hii ya awamu ya tano.

Huu ni mtihani mkubwa kwa raisi maana hiyo ndiyo dira yake ya kwanza katika kutimiza deni kubwa au shauku kubwa iliyojengeka kwake kutokana na yale aliyowaahidi watanzania.

Huu mtihani mkubwa kwa chama cha mapinduzi maana chama kinahitaji kuandaa watu wa kukibeba kesho.

Uteuzi huu wa waziri mkuu unaweza kukizi mahitaji yote mawili katika mtu mmoja ndio mtihani mkubwa unaomkabili raisi na chama chake.

Kila mmoja ana mtizamo wake lakini ingekuwa ni vyema kuweka vigezo kwanza alafu kuangalia nani mwenye sifa za kutosha katika vigezo.

Kwa mtizamo wangu vigezo vya kumpata waziri mkuu ni hivi hapa.

1. Kwa kuwa uongozi bora una mambo makuu mawili moja ni usimamizi mzuri na pili ni mipango mizuri, hapa raisi na chama wanatakiwa kuangalia raisi aliyekwisha kuchaguliwa yeye ana karama ipi katika hilo na kumilisha uongozi kwa kuteua waziri mkuu mwenye karama ya pili.Bila kumumunya maneno hapa kwangu mimi naona rais ana karama ya kuwa msimamiaji mzuri kwa maana amewasimamia wakandarasi na wizara yake vizuri ila raisi huyu anakosa karama ya mipango mizuri maana wizara yake inatumia wakandarasi wengi sana kutoka nje ya nchi na kuishia kuongea tu kutumia wakandarasi wazalendo jambo ambalo lina athari kubwa sana kiuchumi kwa nchi yetu. Katika kutekeleza miradi tunatekeleza miradi mingi kwa kuwakopa wakandarasi na taifa kupata hasara sana kwa riba zilizoko katika mikataba ya ujenzi.

Nikirudi katika watangaza nia wote kwangu mimi ninaona makamba ndiye alikuwa kinara katika kupanga hivyo anakuwa katika nafasi nzuri ya kumkamilisha rais katika uongozi.

Itakuwa kosa kubwa sana kumchukua mwanasiasa mwenye karama kama ya rais kuwa waziri mkuu kwa maana mmoja wao atabaki kuwa redundant huku uongozi ukijikita katika field work na awamu ya tano inaweza kutokufanya vizuri kutokana na kukosa mipango mizuri.

Wapo wengi wanatajwa ambao kimsingi kwa mtizamo wangu hawana sifa ukifuatilia utendaji wao walitaka kumuiga raisi lakini wakashindwa kwa maana ukienda benki ukamkuta meneja ameshika mfagio anafagia huwezi kumsifia kwa kuchapa kazi bali utamshangaa kwa kutotambua majukumu yake.

Wengi wanaotajwa mtu amepewa wizara, watendaji wa wizara hawafanyi chochote bali yeye ni kuchukua mafasi ya utendaji wa chini na kuzunguka akifanya kazi za maofisa wa chini.

Waziri tunamtathmini kwa utendaji wa wizara yake lakini wengi wanafanya promotional work za kuwapandisha kisiasa na kuacha majukumu yao ya uwaziri. Rais katika supervision is namba 1 katika nchi yetu kutokana output za wizara yake kutoka kwa watendaji na yeye kuonekana mstari wa mbele kusimamia watendaji.

2. Kwa kuwa upo msemo unaosema viongozi huandaliwa basi katika kuchagua nani akamate nafasi ipi ni lazima dhana hii ikumbukwe. Na hapa unaweza kugundua kuwa watu wenye umri wa kati ambao wamefanikiwa kupata uzoefu wa kutosha katika umri huo na kuonekana uwezekano wa kuwa watendaji wazuri kupewa nafasi zaidi kama watu wanaoweza kutimiza majukumu yao ya sasa kwa ufanisi lakini wakati huo wakiandaliwa kwa majukumu makubwa zaidi kwa wakati ujao. kwa macho yangu ya haraka bado naona makamba amekaa vizuri kubeba majukumu ya sasa na kuwa hazina nzuri kwa taifa kesho.

3. Mbinu za kimawasiliano katika utendaji. katika hili ni lazima tufikirie mawasiliano baina ya raisi na waziri mkuu wake. katika hili wengi wanaopendekezwa utaona rais akitumia lugha ya ukali kutokana na status zao na age yao inaweza kutafsirika kama insult na mara nyingi viongozi wamekuwa wakitumia busara kuwaagiza walio chini yao kwa kuwaomba na sio kuwaagiza.Kwa nature ya rais ya ukali anatakiwa kuwa na waziri mkuu ambaye yuko tayari kuchukua maagizo kwa upole na kwa ukali na makamba anafit hapa kutokana na age difference lakini pia kutokana na kuwa yeye hajawa na status ya juu sana ya kuagizwa na rais ikaonekana kama rais anashusha status yake na pia kutoka na age atafuata maagizo ya raisi na sio kufanya ya kwake.

Lakini pia Makamba anaonekana kuwa na confidence sana kwa kutoogopa mtu hivyo yeye akipewa cheo atamuagiza yeyot

Utumbo wa Kuku. Hapa ndiyo mnaposhindwa. Hamtaweza kumchagulia watu wa kufanya nae kazi kama mlivyozoea. Nae akiwasikiliza basi kuna tatizo. Hizi kqmpeni muhulq wake umekwisha na hamtakaa mfanikiwe tena. Hapa ni Kazi tuu hakuna cha nani wala nani. Hawa makandarasi w ndani unaotaka wapewe kazi mbona hata kuziba mashimo tu wanashindwa na kupelwkea kurudia kila miezi miwili? Acheni hizo. Wapewe wanaoweza ila walipwe kw wakati.
 
Wengi wanasubiri nani atateuliwa kushika nafasi ya waziri mkuu katika serikali hii ya awamu ya tano.

Huu ni mtihani mkubwa kwa raisi maana hiyo ndiyo dira yake ya kwanza katika kutimiza deni kubwa au shauku kubwa iliyojengeka kwake kutokana na yale aliyowaahidi watanzania.

Huu mtihani mkubwa kwa chama cha mapinduzi maana chama kinahitaji kuandaa watu wa kukibeba kesho.

Uteuzi huu wa waziri mkuu unaweza kukizi mahitaji yote mawili katika mtu mmoja ndio mtihani mkubwa unaomkabili raisi na chama chake.

Kila mmoja ana mtizamo wake lakini ingekuwa ni vyema kuweka vigezo kwanza alafu kuangalia nani mwenye sifa za kutosha katika vigezo.

Kwa mtizamo wangu vigezo vya kumpata waziri mkuu ni hivi hapa.

1. Kwa kuwa uongozi bora una mambo makuu mawili moja ni usimamizi mzuri na pili ni mipango mizuri, hapa raisi na chama wanatakiwa kuangalia raisi aliyekwisha kuchaguliwa yeye ana karama ipi katika hilo na kumilisha uongozi kwa kuteua waziri mkuu mwenye karama ya pili.Bila kumumunya maneno hapa kwangu mimi naona rais ana karama ya kuwa msimamiaji mzuri kwa maana amewasimamia wakandarasi na wizara yake vizuri ila raisi huyu anakosa karama ya mipango mizuri maana wizara yake inatumia wakandarasi wengi sana kutoka nje ya nchi na kuishia kuongea tu kutumia wakandarasi wazalendo jambo ambalo lina athari kubwa sana kiuchumi kwa nchi yetu. Katika kutekeleza miradi tunatekeleza miradi mingi kwa kuwakopa wakandarasi na taifa kupata hasara sana kwa riba zilizoko katika mikataba ya ujenzi.

Nikirudi katika watangaza nia wote kwangu mimi ninaona makamba ndiye alikuwa kinara katika kupanga hivyo anakuwa katika nafasi nzuri ya kumkamilisha rais katika uongozi.

Itakuwa kosa kubwa sana kumchukua mwanasiasa mwenye karama kama ya rais kuwa waziri mkuu kwa maana mmoja wao atabaki kuwa redundant huku uongozi ukijikita katika field work na awamu ya tano inaweza kutokufanya vizuri kutokana na kukosa mipango mizuri.

Wapo wengi wanatajwa ambao kimsingi kwa mtizamo wangu hawana sifa ukifuatilia utendaji wao walitaka kumuiga raisi lakini wakashindwa kwa maana ukienda benki ukamkuta meneja ameshika mfagio anafagia huwezi kumsifia kwa kuchapa kazi bali utamshangaa kwa kutotambua majukumu yake.

Wengi wanaotajwa mtu amepewa wizara, watendaji wa wizara hawafanyi chochote bali yeye ni kuchukua mafasi ya utendaji wa chini na kuzunguka akifanya kazi za maofisa wa chini.

Waziri tunamtathmini kwa utendaji wa wizara yake lakini wengi wanafanya promotional work za kuwapandisha kisiasa na kuacha majukumu yao ya uwaziri. Rais katika supervision is namba 1 katika nchi yetu kutokana output za wizara yake kutoka kwa watendaji na yeye kuonekana mstari wa mbele kusimamia watendaji.

2. Kwa kuwa upo msemo unaosema viongozi huandaliwa basi katika kuchagua nani akamate nafasi ipi ni lazima dhana hii ikumbukwe. Na hapa unaweza kugundua kuwa watu wenye umri wa kati ambao wamefanikiwa kupata uzoefu wa kutosha katika umri huo na kuonekana uwezekano wa kuwa watendaji wazuri kupewa nafasi zaidi kama watu wanaoweza kutimiza majukumu yao ya sasa kwa ufanisi lakini wakati huo wakiandaliwa kwa majukumu makubwa zaidi kwa wakati ujao. kwa macho yangu ya haraka bado naona makamba amekaa vizuri kubeba majukumu ya sasa na kuwa hazina nzuri kwa taifa kesho.

3. Mbinu za kimawasiliano katika utendaji. katika hili ni lazima tufikirie mawasiliano baina ya raisi na waziri mkuu wake. katika hili wengi wanaopendekezwa utaona rais akitumia lugha ya ukali kutokana na status zao na age yao inaweza kutafsirika kama insult na mara nyingi viongozi wamekuwa wakitumia busara kuwaagiza walio chini yao kwa kuwaomba na sio kuwaagiza.Kwa nature ya rais ya ukali anatakiwa kuwa na waziri mkuu ambaye yuko tayari kuchukua maagizo kwa upole na kwa ukali na makamba anafit hapa kutokana na age difference lakini pia kutokana na kuwa yeye hajawa na status ya juu sana ya kuagizwa na rais ikaonekana kama rais anashusha status yake na pia kutoka na age atafuata maagizo ya raisi na sio kufanya ya kwake.

Lakini pia Makamba anaonekana kuwa na confidence sana kwa kutoogopa mtu hivyo yeye akipewa cheo atamuagiza yeyot

Marope pole, umeanza propaganda enhee? Hata uwaziri hupati, wallah nakuapia
 
Hivi CCM huko watu wameisha mpaka watajwe na hawa madogo kwenye uwaziri mkuu kweli? Kigwangala, Mwigulu na Makamba wanafaa kwenye kupewa wizara lakini siyo uwaziri mkuu jamani.
Mukulu anapenda kufanya kazi na watu wenye umri wa chini yake, hivyo usishangae kati ya hawa mayoung stars wa siasa za CCM wa sasa, yaani akina Mwigulu, Kigwangalla na Makamba, mmoja wao akawa Waziri Mkuu wa Tanzania ya Magufuli!
 
Back
Top Bottom