Uteuzi Viti Maalumu CHADEMA!

Viti Maalum by %.jpg Haya angalieni ili bandiko
 
Suzan Lyimo ni wa dar es salam kilimanjaro chadema hawamjui labda kijijini kwao , nikimaanisha hajawahi kufika hata kwenye ofisi zao za chama , hajawahi kufanya kazi za siasa kilimanjaro hata fomu alichukulia dar msitake ionekane kilimanjaro wamependelewa
 
mimi nikiwa mzawa wa kusini yaani mtu wa kusini na watu wakusini wamelalamikia sana kuhusu chadema kwa kutokuchagua mbunge wa viti maaluumu kutoka mikoa ya kusini....inashiria nini,

kwanini sisi wa kusini mmetutenga sana hata kwenye uongozi wenu wa juu.....mmetutupa sana tupeni majibu ya uhakika la sivyo 2015.....unaweza ukawa mwaka mbaya sana kwenu........maana wanachi wa huku wanalalamika....sana kuhusu uongozi wenu,hebu toeni maelezo kwa nini hata viti maluumu wanatoka mikoa ya kaskazini......
 
Umeanza vizuri sana ila mwishoni umeharibu, ni vizuri kama ungewasilisha post yako then watu wakaichambua na sio mikwara,kwa nini wasishinde wanakuja huko na M4C wala usijali mkuu....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mimi nikiwa mzawa wa kusini yaani mtu wa kusini na watu wakusini wamelalamikia sana kuhusu chadema kwa kutokuchagua mbunge wa viti maaluumu kutoka mikoa ya kusini....inashiria nini,

kwanini sisi wa kusini mmetutenga sana hata kwenye uongozi wenu wa juu.....mmetutupa sana tupeni majibu ya uhakika la sivyo 2015.....unaweza ukawa mwaka mbaya sana kwenu........maana wanachi wa huku wanalalamika....sana kuhusu uongozi wenu,hebu toeni maelezo kwa nini hata viti maluumu wanatoka mikoa ya kaskazini......

Kwa waliopa elimu yao kwa njia ya nguo za ndani huwa na mawazo kama hayo ya kwako,CCM MKIWAZA MARA1 CDM WANAWAZA MARA 2000.UKIINGIA UNAPWA VIBOKO6 NA UKITOKA UNACHAPWA VIBOKO6 UKAMWONYESHE MKEO.CDM TUNATANGULIA MTATUKUTA MBELE YA SAFARI.
 
mimi nikiwa mzawa wa kusini yaani mtu wa kusini na watu wakusini wamelalamikia sana kuhusu chadema kwa kutokuchagua mbunge wa viti maaluumu kutoka mikoa ya kusini....inashiria nini,

kwanini sisi wa kusini mmetutenga sana hata kwenye uongozi wenu wa juu.....mmetutupa sana tupeni majibu ya uhakika la sivyo 2015.....unaweza ukawa mwaka mbaya sana kwenu........maana wanachi wa huku wanalalamika....sana kuhusu uongozi wenu,hebu toeni maelezo kwa nini hata viti maluumu wanatoka mikoa ya kaskazini......

mikoa ya kusini ina waislam wengi hivyo chadema chama cha wakristo wakatoliki hawangependa kuona waislam ndani ya bunge.

Kama wewe ni muislam na bado uko chadema inabidi tukupime akili. Na kama wewe ni mkristo basi inabidi uvumilie au nenda kahamie uchagani utapata wabunge wa chadema kukuwakilisha.

Mbali na ubaguzi wa kimikoa lkn chadema ni wabaguzi wa kikabila na udugu. Hapo udugu umetumika kwa kias kikubwa kujaza viti maalum.

Pia kwa mujibu wa chadema kumbe wao zanzibar ni kama mkoa. Angalia tangazo lao hapo juu. Kamwe chadema hamtopata kitu zanzibar.
 
mimi nikiwa mzawa wa kusini yaani mtu wa kusini na watu wakusini wamelalamikia sana kuhusu chadema kwa kutokuchagua mbunge wa viti maaluumu kutoka mikoa ya kusini....inashiria nini,

kwanini sisi wa kusini mmetutenga sana hata kwenye uongozi wenu wa juu.....mmetutupa sana tupeni majibu ya uhakika la sivyo 2015.....unaweza ukawa mwaka mbaya sana kwenu........maana wanachi wa huku wanalalamika....sana kuhusu uongozi wenu,hebu toeni maelezo kwa nini hata viti maluumu wanatoka mikoa ya kaskazini......

Labda mimi sielewi ,viti maalum huwa vinagawiwa km vile 10 vya uteuzi wa rais au huwa watu wanagombea na kisha kupigiwa kura? Km waligombea wakashindwa sioni tatizo hapo. Pia inawezekana hawakugombea kabisa kutokana na mwamko wa chadema wakati huo huko kusini kuwa mdogo ,kumbukumbu za kampeni zinaonyesha kusini cuf ndio ilikuwa ikiungwa mkono sana kwenye uchaguzi wa 2010 . Ni muono wangu tu
 
Wana CCM mnajua historia ya uhuru nyie. Mnajua ni nani wa kwanza kwenda UN kudai uhuru. Hivi hamjui kuwa jinsi manvyofikiri kidogo hao wenzenu wanazidi kuwatawala kifikra.
 
Back
Top Bottom