unaishi maeneo gani?
1. ni bora iondolewe kwa operesheni kwasababu ni rahisi na haraka ili upate muda wa kushika mimba.
2. Ukitumia vidonge itachukua muda mwingi na itakuletea madhara ya muda mrefu kwani dawa huwa ni kali sana.
(a) Zinaweza kusababisha homoni za kiume kuzidi, ukaanza kuota ndevu na
(b) pia inaweza kusababishia mood swings, ukaishia kuwa na hasira hasira sana.
ugua pole.
Mkuu mood swings ni nini na husababishwa na nani? Ni ugonjwa au, na ufanye nn kuuepuka.
Mkuu mood swings ni nini na husababishwa na nani? Ni ugonjwa au, na ufanye nn kuuepuka.
Wengi wanaokunywa dawa za kuzuia mimba hupata huo ugonjwa sasa hapo dada anataka mimba na tiba ya huo ugonjwa mara nyingi ni kutoa kizazi...yupo kwenye mtihani
Mkuu Lateni dawa ya kukutibu maradhi yako ya Fibroids uvimbe kwenye sehemu ya mifuko ya uzazi ninayo ukitaka ninaweza kukutibia pasipo na kufanya opereshenina huo uvimbe wako utapona kwa kutumia dawa zangu Ukifanya operesheni utarudi tena huo uvimbe wako baada muda fulanikuwa muangalifu sana. ukinihitaji nikutibie pasipo operesheni bonyeza hapa.Mawasiliano
unaishi maeneo gani?
1. ni bora iondolewe kwa operesheni kwasababu ni rahisi na haraka ili upate muda wa kushika mimba.
2. Ukitumia vidonge itachukua muda mwingi na itakuletea madhara ya muda mrefu kwani dawa huwa ni kali sana.
(a) Zinaweza kusababisha homoni za kiume kuzidi, ukaanza kuota ndevu na
(b) pia inaweza kusababishia mood swings, ukaishia kuwa na hasira hasira sana.
ugua pole.
Kuna rafiki yangu yuko ng'ambo ana hilo tatizo pia na tayari anatumia dozi (sijui details za hiyo dozi) ntarudi kwa huyu dada nikapata positive feedback from my friend. Tatizo la operation ni kwamba haikupi guarantee ya kuondokana na tatizo hilo forever.
wanawake wengi wanaoishi nchi zilizoendelea hasa WEUSI, wana tatizo hili kwasababu ya diet mbaya yenye wanga kupitiliza.
kwa kiasi fulani, bila mazoezi, kutozaa kwa muda mrefu na chakula chenye wanga nyingi (junk food) husababisha tatizo hili sana.
na hata Tanzania linakuwa sana kutokana na aina za maisha, kutofanya mazoezi na ongezeko na diet za vyakula vilivyosagwa.
Ni kweli kabisa mimi nilipatwa na tatizo hili nilihangaika sana kwa madaktari mbali mbali hadi nilifika hadi kwa waganga wa kienyeji na nikajikuta ninaokoka maana tatizo likawa serious sana ila madaktari wengi wa magonjwa ya wanawake wa muhimbili,aghakan,na pale dar group waliniambia nipate mimba tatizo ndo nilikuwa nasoma ila tatizo lilizidi sana kunitesa na kila nikienda hospitali utrasound inaonesha uvimbe unaendelea kukua.Ikanibidi nijitwishe mzigo wa mimba nikiwa bado nasoma chuo,cha ajabu kipindi chote cha mimba maumivu yale makali yalitoweka hadi leo naitwa mama fulani sijawahi kuexperience tena uwepo wa uvimbe na sikutaka kwenda kupiga hizo utra sound zao maana niliteseka sana.So jamani mimba iliplay miracle fulani hivi kwenye huu ugonjwa ila niliumia kwa kuwa mwanangu sikumzaa ndani ya ndoa.