Samahani nimeghafilika niulize tena kwenye What's App binadamu sisi hatuja kamlika Mkuu ISLETS Please try again.ni kama mwezi umepita, kabla sijabadili ID yangu,nilikuwa natumia "Danny Job" nikakutext ukaniuliza jina,nikakujibu ndio mpaka leo, ila sijali may be ulipitiwa.
MYOMA or UTERINE FIBROIDS or LEIOMYOMA or UTERINE MYOMA... Huu ni uvimbe (benign tumour) inayotokea kwenye kuta laini za uterine.... Hii inaweza patikana about 25% of female of females of reproductive age.
Sababu inayofanya uterine fibroids ni kukuwa kupitiliza kwa misuli ambayo ipo kwenye uterine hii nikutokana na kwamba fibroids ni oestrogen dependent...sana sana huwapata wanawake ambao ni infertile becouse there is long standing unopposed oestrogen effects leading to over proliferation of the uterine smooth muscles.
Pia huweza sababishwa na obesity (unene ulio pitiliza), child bearing age>30. ..na family history/ genetic predisposition. Fibroids imegawanyika kwenye makundi 3. Submucousal, intramural na subserpsal.
Dalili za uvimbe wa kizazi ni constipation (kukosa choo, choo kuwa kigumu), feeling fullness in the lower abdomen( kujiskia kuwa na ujazo kwenye tumbo la kizazi kama mtu aliyeshiba), Anaemia( damu kuwa kidogo Hb).
Diagnosis za Myoma ni kupima Hb iwapo itakuwa ndogo below normal range <12g/dl na upt kusoma -ve hii inaweza ikawa njia kubwa ya kupima fibroids... Pia ultrasonography inatumika kuconfirm ugonjwa.
Mkuu mama katudanganya!...hamna obsetrician anayethubutu kuondoa myoma wakati wa c/s coz wakati huo uterus inakua hypervascular due to the effect of the pregnancy so ukijaribu kupitisha kisu umeumia!!...the woman will go into a torrential bleeding to death!!
Basi tuchukulie wewe ndo ulifanyiwa kama unabisha, ama unaropoka tu, Mimi ndo nashida hiyo na nimeomba msaada wewe unaniita nadanganya mbona huna ustarabu.
Mkuu mama katudanganya!...hamna obsetrician anayethubutu kuondoa myoma wakati wa c/s coz wakati huo uterus inakua hypervascular due to the effect of the pregnancy so ukijaribu kupitisha kisu umeumia!!...the woman will go into a torrential bleeding to death!!
Mkuu mama katudanganya!...hamna obsetrician anayethubutu kuondoa myoma wakati wa c/s coz wakati huo uterus inakua hypervascular due to the effect of the pregnancy so ukijaribu kupitisha kisu umeumia!!...the woman will go into a torrential bleeding to death!!
Mkuu usibishe, nawafahamu watu wengi sana waliotewa myoma wakati wa c-sect na wame survive. And I am one of them, a living proof, kama mtoa mada.
Mimi Ni Mara mbili sasa, ndo maana natafuta kutibu sio kupasuliwa.
Utoaji wa myoma wakati wa c-section ni hatari.
Dawa ya myoma ni upasuaji tu.[/QUOT. Mbona ukitolewa yanaota tena
Ok Mkuu ISLETS Poa hakuna tabu..........usijali mkuu,, tayari kuna solution ya tatizo langu nilipata na bado naifanyia kazi.