Scratch
Member
- May 2, 2011
- 11
- 1
Kuna Mbuzi, simba, majani na mtumishi. mtumishi amepewa kazi ya kusafirisha mbuzi, simba na majani kuelekea sehemu ambaye bosi wake amemwamuru kutokana na ukame na ukosefu wa chakula sehemu ambayo wanaishi. kufika njiani mtumishi amekutana na mto mkubwa sana na inabidi avuke kutumia boti ambalo lina uwezo wa kubeba kilo mia mbili tu, akizidisha hata robo kilo boti litazama. mtumishi ana uzito wa kilo mia, mbuzi kilo mia, simba kilo mia na majani yana uzito wa kilo mia. Mtumishi anatakiwa ahakikishe simba hamli mbuzi, na mbuzi asile majani kwani vyote vinatakiwa vifike sehemu iliyoamuriwa na hapo walipo hakuna mtu wa kusaidia. je mtumishi atafanya njia gani kuhakikisha anavukisha vitu vyote salama ?