Utawala wa Ghadafi unaporomoka utafuata wa nani?

benebantu

Member
Mar 12, 2010
17
0
UTAWALA WA GHADAFI UNAPOROMOKA UTAFUATA WA NANI? When rebels reached the gates of Tripoli, the special battalion entrusted by Gadhafi with guarding the capital promptly surrendered. The reason: Its commander, whose brother had been executed by Gadhafi years ago, was secretly loyal to the rebellion, a senior rebel official Fathi al-Baja told The Associated Press.



[h=1]http://news.yahoo.com/libyan-rebels-most-tripoli-034039732.html[/h]
 

Attachments

  • slipping from the grasp of a tyrant.doc
    35.5 KB · Views: 58
bingu wa mutharika malawi,sadat wa syria,jk wa tanzania,mugabe wa zimbabwe
 
acheni ushabiki yakiwakuta hayo wengi wenu mtakua wakimbizi kwenye nchi za watu na ya somalia yatakua yenu
 
siwez tabiri ni nani atafuata baada ya Ghaddaf,tuache ushabiki kwani jamani hali inatisha, juujuu tu utaona ni kawaida sana...ila sasa wakati umefika sisi kama Great thinkers tufikiri kwa kina juu ya hili```na mengineyo yanayotukabili sisi kama Wa`east Africa or Africa as whole juu ya matukio kama haya kwan leo wao ila mimi na wewe hatujui kesho yetu`ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom