Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Mi wife kanikandamiza na miaka 8 na maisha yanasonga mbele kama kawa. Nikitaka kwenda Ngwasuma ananisindikiza na akienda Bakulutu nampa kampani. Ila taarab ndio huwa hapati kampani yangu. Hahaha!
Age ain't nothing but number!

Chriss bwana una vituko wewe...
 
hata mimi kipindi cha nyuma nilikua najua age aint nothing but a number mpaka hivi sasa niliyokua nikiambiwa nawakubwa yananitokea ndo nagundua umri ni mali,naamini wengi wetu tunaishi vizuri tokana na experience ya maisha tuliyonayo,na haiwezekana kundi kubwa la vijana likawazidi watu wazima experience nzuri ya maisha, hivyo inapendeza mume uwe mkubwa kidogo kiumri ili uweze tumia experience ya misha kuendesha ndoa yenu vizuri,hata dereva mzee kwenye kampuni usifiwa kwa uendeshaji wake,nakaribisha maoni
 
......... hivyo inapendeza mume uwe mkubwa kidogo kiumri ili uweze tumia experience ya misha kuendesha ndoa yenu vizuri,hata dereva mzee kwenye kampuni usifiwa kwa uendeshaji wake,nakaribisha maoni

uko sawa kabisa mkuu,
wanasema NYANI MZEE AMEKWEPA MISHALE MINGI SANA!!
 
Jamani umri una mata kiasi chake tusidanganyane, lets be honesty. Leo hii mimi naweza kuoa mtu wa miaka 47?
 
Hivi kuna utofauti gani kati ya 'mwanaume mwenye miaka 40 akiwa na uhusiano na mwanamke mwenye miaka 20' na 'mwanaume mwenye miaka 20 akiwa na uhusiano na mwanamke mwenye miaka 40'?????


Unavaa miwani ya malensi makubwa nini? hii font vipi tena halafu ni kwa post zako zote.
 
jamani umri una mata kiasi chake tusidanganyane, lets be honesty. Leo hii mimi naweza kuoa mtu wa miaka 47?

mkuu, wewe mwenyewe utampenda sawa, lakini nduguzo watakushangaaa sanaaaaa, wazazi wako hawakawii kukumwagia lazi kama sio radhi
 
Jamani umri una mata kiasi chake tusidanganyane, lets be honesty. Leo hii mimi naweza kuoa mtu wa miaka 47?

Umri una-matter kutokana na opposite partner wako, especially kama wewe ni mwanaume then mwanamke amekuzidi.

Look at Cannon na Mariah Carey, it does not matter kivile coz kila Carey anajiweka vizuri, plus every man wants to be with her so it's all good.

But, mtu kama S..... Lion unaweza muoa weye? Me don't
 
Kila mtu umri wake ni ule ulioko kwenye akili yake mwenyewe. Hizo tarakimu zina umuhimu kwenye takwimu tu.
 
Umri una-matter kutokana na opposite partner wako, especially kama wewe ni mwanaume then mwanamke amekuzidi.

Look at Cannon na Mariah Carey, it does not matter kivile coz kila Carey anajiweka vizuri, plus every man wants to be with her so it's all good.

But, mtu kama S..... Lion unaweza muoa weye? Me don't

umenena
 
Umri kwa upande wangu mimi si hoja sana. Ila mwaume ni vizuri akawa mkubwa. Wanawake wanapenda sana wanaume wanaowajali kwa kila namna. Nashauri upendo uwe wa kweli kwa wapendanao
 
Mapenzi hayaendani na umri, ila inapendeza zaidi mwanaume awe mkubwa kwa mwanamke.

Inapendeza sana mwanamke akiwa mkubwa kwa mwanaume heshima inakuwepo na mapenzi ya dhati yanadumishwa.
 
Naomba kuuliza wanajamvi, katika mapenzi ili yadumu na kutopungua thamani mwanaume anatakiwa awe na silaha ipi?

Naomba kwa kuanzia niseme tu ninavyoona mimi, naona ni mapenzi ya kweli na kujali hisia za mpenzi wako.

Nina imani kuna watakaofikiria pesa lakini kwangu mimi pesa ninaona kama hazina faida yoyote katika mapenzi ya kweli kwani tumeshuhudia mapenzi yanapotawaliwa na pesa basi huwa hayadumu kwa muda mrefu.

Wana JF naomba tusaidiane..
 
Naomba kuuliza wanajamvi,katika mapenzi ili yadumu na kutopungua thamani mwanaume anatakiwa awe na silaha ipi?Naomba kwa kuanzia niseme tu ninavyoona mimi, naona ni mapenzi ya kweli na kujali hisia za mpenzi wako,nina imani kuna watakaofikiria pesa lakini kwangu mimi pesa ninaona kama hazina faida yoyote katika mapenzi ya kweli kwani tumeshuhudia mapenzi yanapotawaliwa na pesa basi huwa hayadumu hata siku moja.Wana JF naomba tusaidiane..

siraha kubwa kabisa ni UONGO Maana kila jambo unalofanya ukilipamba na ka uongo kidogo mambo bam mbam.mf unalazimika kuvaa uhalisia wa jambo hata kama nigumu kiasi gani kwako.mfano wife/mpenzi anataka mwanaume mcheshi so inabidi umdamganye kwa kuvaa sura ya ucheshi kwa muda.
 
Back
Top Bottom