Utata wa masuala ya kigaidi nchini nani mkweli

mkalamo

JF-Expert Member
Sep 7, 2013
324
347
Muda umepita watu wakiwa hawafahamu kilichokuwa nyuma ya sakata zima la kutaka kutekwa kwa aliyekuwa mhariri wa Gazeti la Mwananchi Denis Msack, pia kupiga na kujeruhiwa kwa mhariri wa New Habari(2006)LTD.Absalom Kibanda vyombo vya kiusalama navyo vimeendelea kuwa Kimya.

Kwa nafasi yangu nitaelezea Machache ninayoyajua kwa kuanza kurudisha nyuma matukio haya kuanzia kuuliwa kwa kada wa Chadema Mbwana Masoud kule Igunga na waliokuwa nyuma ya tukio ambao kwa sasa mmoja wao yupo Igunga na mwingine kakimbilia Shinyanga kuwa mlinzi katika moja ya migodi na namna walivyopewa fedha ya utekelezaji wa unyama huo

Pia nitaeleza kwa kina kumwagiwa Tindikali kwa kada wa CCM hapo hapo Igunga Musa Tesha na walio nyuma yao tukio hilo na namna walivyoweza kukimbia Katika mji huo na kujificha Nzega kwa muda huku mmoja wao akiwa amejeruhiwa mkono baada ya tindikali kumgusa mkononi

Nitaenda mbali zaidi kwa kugusia matukio mawili makubwa ya Msack na namna mmoja wa viongozi wa kisiasa alivyoshiriki huku wakijitahidi viongozi wao wa juu wasijihusishe na namna Ludovick alivyotumika kutaka kuwaunganisha viongozi wa juu hapa nitarejea namna alivyosahau boksi lililohifadhia kimiminika cha kudhuru mwili kule Igunga na namna Polisi walivyotumia kumshinikiza kuwaunganisha baadhi ya viongozi wa Chadema...katika hili naomba ieleweke kuwa wapo waliohusika katika Chadema katika mkakati wa Msack mpaka taarifa kumfikia nae kwenda kutoa taarifa kwa watu wa Usalama huku KIONGOZI WA JUU WA chadema akiwa hajui kinachoendelea na mwisho nitaelezea tukio hilo na kujeruhiwa kwa Kibanda na namna jeshi la Polisi lisivyoweza kukwepa hili

Katika maelezo haya nitawagusa wanasiasa wa pande zote mbili za CCM na Chadema na walivyoshiriki ama kwa kuagizwa au kwa kujiagiza tafadhali subiri.........
 
Back
Top Bottom