Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

bily

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
8,030
5,772
Watu wanasahau tu ila Museveni ni mtu mbaya sana!

Inadaiwa kuwa sumu iliyopaswa imuue moja kwa moja baada ya kutoka kwenye ziara pale Kilwa Road kwenye sabasaba, hatimaye ikammaliza daktari wa mifugo kutoka huko Pemba.

Ni nani aliediverge hii issue na hatimae kuondoka na Dkt Omary deceased?

Tanzania kuna mengi ila it is claimed that Museveni was planted to rest in hell before things change during that time 13:00, 4/7/2001.

Ngoja nimalizie kunywa spirit iniondolee baridi maana nashindwa kuandika.
 
Hakuwa Museveni, ilikuwa Joseph Kabila ilikuwa kwny Maonesho ya Sabasaba I it was 2001
Alifariki saa 6 usiku Nyumbani kwake Ostybay baada ya kutoka kwny Maonesho ya Sabasaba !

Hii Nchi ni kisiwa cha Amani
1) 1972 tulipoteza Rais Kwa Risasi
2) 1984 tukapoteza Waziri Mkuu kwa ajali
3)1996 Tukapoteza Mkuu wa Usalama wa Taifa kwa Risasi
4) 2001 tukapoteza Makamu wa Rais kwa sababu isiyojulikana
 
Nimeamini Jamiiforums kisima cha habari hii habari nilikuwa naitaka sana wapeni vijana wajuwe.

Sasa naombeni mtupe Uzi Wa BABU SEYA hivi ile kesi ilikuwa kweli au kuna mambo nyuma ya pazia swali na kama kesi ni kweli kwanini Rais MAGUFULI awasamehe ndio tunarudi nyuma kwamba inshu ya BABU SEYA kuna kitu kimejificha.
 
Back
Top Bottom