utata mtupu

M-bongotz

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,734
405
Sijui kwanini aliamua kuvaa nguo ya mwanae..
 

Attachments

  • utata mtupu.jpg
    utata mtupu.jpg
    21.9 KB · Views: 1,130
mbona wanawake wanazalilishwa kihivi??? mbona hiyo ni kama public place??? au ni kwenye 'striptease dance?' imenichefua sana:evil::evil:
 
Sijui kwanini aliamua kuvaa nguo ya mwanae..

1. Aliona hasipitwe na mtindo wa pedo.

2. Mtoto wake alipokuwa akiiva ilikuwa ikimpendeza kwa sababu ni size yake, na yeye akadhani akivaa atapendeza kama mtoto wake.
 
Back
Top Bottom