lachicaguapa
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 269
- 72
Very sad story jamani. Tusipende makuu na umaarufu, tusali sana kwa kweli vijana.
Mkuu unaogopa kutaja peponi kwa nini?
Swali la kujiuliza kwa mtu mwenye fikra pevu kondom ikitumika inatupwa kitandani au dustbin?
chumba namba 208.
chumba hicho namba 214
Source: Mwananchi
habar zote hapo juu nimenukuliwa kutoka gazeti la Mwananchi ila, naona namba za chumba ni tofautisource: mwananchi
Du Mungi wewe ni Mwanasheria mahiri nilifikiria ni wa CHADEMA tu lakini kwa hili naona unatafuta haki na kujua huyu Mtanzania na muArusha ni nini kimemuondoa.Mkuu unaweza kusema ni viagra, lakini mnasahau kuwa jamaa inawezekana alinyonya matiti yenye yaliyowekewa sumu kwa lengo la kummaliza.
Uchunguzi wa kina unatakiwa kujua ukweli
duh! Mungu amrehemu huyo ndugu, kada wa ccm.
tulimpenda ila Mungu amempenda zaidi'...... R.I.P broo Ben
Una uhakika Mungu amempenda zaidi? ??
Tangu lini mungu akaanza kupenda Wazinzii?? ?
......
Si ndo hapo kaka yangu.watu bwana. Mungu anhubiri kila leo tuache dhambi hatutaki. kiburi cha uzima na mafanikio tunamkufuru Mungu. afu mtu akifa utasikia oooh! mungu kampenda zaidi. oooh! mungu amlaze pema peponi. MNAMPANGIA MUNGU?
ACHA DHAMBI SASA KAMA UNATAKA KWENDA MAHALI PEMA PEPONI. MNADAHANI MUNGU NI MWANASIASA. UTAVUNA ULICHOPANDA. UKIFA HAKUNA MAOMBEZI YATAKAYO KUOKOA. SHIKA SHERIA ZOTE 10 ZA MUNGU (KUTOKA 20: 3-17) NA IMANI YA YESU. (UFUNUO 14:12) NA TUMWABUDU NA KUMSUJUDU MUNGU ALIEZIUMBA MBINGU NA NCHI NA BAHARI NA VYOTE VILIVYOMO. UTUKUFU UNA YEYE TANGU MILELE NA HATA MILELE, AMINA.
Aliyekuwa mjumbe wa baraza kuu la Uvccm mkoani Arusha,Benson Mollel aliyevalia shati la kung'aa tofauti na wenzake akitoa msaada kwa mtoto aitwaye frank wakati jumuiya hiyo ilipofanya ziara ya kutembelea wagonjwa katika hospitali ya mkoa ya Mt meru hivi karibuni enzi ya uhai wake,anayefuatia ni mwneyekiti wa uvccm mkoani hapa,Robinson Meitenyiku
Nimefurahi Story nzima imepatikana kwenye Blog ya Jamii na mwandishi Pamela Mollel
BOFYA HAPA PIGO KWA CCM,,MJUMBE WA BARAZA KUU LA UMOJA WA VIJANA UVCCM NGAZI YA TAIFA MKOA WA ARUSHA AKUTWA AMEKUFA KATIKA HOTEL YA LUSH GARDEN BUSINESS JIJINI ARUSHA | JAMIIBLOG
PIGO KWA CCM,,MJUMBE WA BARAZA KUU LA UMOJA WA VIJANA UVCCM NGAZI YA TAIFA MKOA WA ARUSHA AKUTWA AMEKUFA KATIKA HOTEL YA LUSH GARDEN BUSINESS JIJINI ARUSHA | JAMIIBLOG
PROF PHILOSOPHY
Sijakuelewa kumlinganisha Ben Mollel mnunuzi wa madini aliyekuwa akinunua madini kwenye Room ya Hotel LUSH GARDEN BUSINESS tena kwa mnunuzi wa pili ambaye ni mwanamke.
Presha au kifafa kikamkuta tena mlango uko wazi wewe unatuambia uelezwe watu 'walipaswa kuonesha wanaakili wakachukua maisha ya mtu kwenye kampeni badala ya kutuabia wamatekeleza nini na nini kipya' ungefunguka maana hueleweki.
Huyu kijana ni maarufu kuliko wewe Professor sasa ulitaka azikweje? mbona mnakuwa wazito kuelewa ubinadamu na Siasa.
Upelelezi umesema wale ni wake za watu au wafanyabiashara.
Halafu unalinganisha na Mtu kupora Mke wa mwenzio na kummiliki kabisa ACHENI PAPA BENEDICT XVI AJIUZULU
.....
Mchezo wa kunyonyeshwa matiti mbona ndio maarufu hapa Arusha. Yule Ofisa Usalama wa Taifa aliyeibiwa bastola pale Picnic wakati wa uchaguzi mkuu uliopita alinyonyeshwa matiti akalala fofofo, jimama likatambaa na kila kitu ikiwamo bastola. Ilitafutwa sana hadi leo haijaonekana.Du Mungi wewe ni Mwanasheria mahiri nilifikiria ni wa CHADEMA tu lakini kwa hili naona unatafuta haki na kujua huyu Mtanzania na muArusha ni nini kimemuondoa.
Bado Mungi tunakutegemea kwa update za hapo Arusha hatakama ni Magamba wewe wavamie tu tupate ukweli wa kifo cha Aibu au ni Madini
- Sumu huwezi kuweka kwenye Chuchu hasa ukizingatia jimama alilolibeba ni zoefu na limeshanyonyesha chuchu zake ni lazima zingeipitisha sumu na yeye kufa.
- Ni lazima atakuwa amebanwa na handcachief yenye sumu puani kwani ni ndani ya dk 15 alishaisha,
- Simu walizopigiana zikifuatiliwa huyo mdada atajulikana kwani ni ajabu hajajitokeza POLISI au msibani
- Viagra huwa inazidisha ongezeko la damu kwenye mishipa na nasikia hata ndani ya masaa 6 inakuwa Erect