Atakaye kuwa na simu ya marehemu!
Mbona ni kitu rahisi sana jamani!
KabisaKuna ulazima wa kusevu/kuhifadhi Nywila zetu mahali na kuwataarifu ndugu zetu wa karibu tunaowaamini
Kila mtu anatamani haifadhi fedha zake bank lkn bank siyo sehemu salama kuhifadhi fedha kwa mtu mwenye kipato kidogo.Simu sio pahala pa kutunzia fedha Bali bank.
Kwa sheria na taratibu zilizopo hizo fedha zikizidi muda Fulani zinapelekwa BOT.
Kuna watu wanaweka pesa kisisiri bila watu wengine kujua hawa pesa zao zinachukuliwa.Mimi navojua mtu akifa, survivor wake ndo wanafanya mpango wa application ya probate kama kuna will au letter of administration kama hakuna wosia, huyo anaeteuliwa na mahakama kusimamia mirath ndo mwenye jukum la kufuatilia hizo accounts including za Mpesa Tgo pesa nk
Kama hakuna aliefatilia basi.
Kabla hujafa unaweza kukuta salio linasoma ziroKuna ulazima wa kusevu/kuhifadhi Nywila zetu mahali na kuwataarifu ndugu zetu wa karibu tunaowaamini
Anayelaumu hapa ni wewe. Mwanzisha mada kauliza swali, hajalaumu...wewe umekurupuka porini huko ulikokuwa unachafua mazingira unakuja kuwalaumu wabongo.Wabongo kwa lawama,kila kitu kiko under control.....niliona jamaa angu akipewa laki 5 za marehemu.Makampuni yote yameainishiwa taratibu za kufuata pindi mteja wao anapofariki(BOT)
Kuna wafanyakazi sio waaminifu husaidiana na wahalifu kutoa pesa za wateja hasa kwenye line zinazookotwaKama mteja anapoteza simu tu ndani ya masaa 24 unambiwa pesa zimeshatolewa. Naona kwa issue ya marehemu ni changamoto sana. Maana juzi tu jamaa yangu kaibiwa simu 2 kariako usiku ilivyofika asubuh kwnd kwa makampun ya simu anaambiwa pesa zimeshatolewa. Wamejuaje namba za sir simu zote 2 kwa wakati mmoja sijui. Kimsingi simu si sehem salama kuhifadh pesa likitokea tatizo hawan ushirikian km bank.
Ili wakupige kabla hujafaKuna ulazima wa kusevu/kuhifadhi Nywila zetu mahali na kuwataarifu ndugu zetu wa karibu tunaowaamini
watakupigaje na wakati simu utakuwa nayo..Ili wakupige kabla hujafa