Naomba kufahamishwa zilipo ofisi za Selcom, nishachoka na upuuzi wao

Ezekia Lameck

JF-Expert Member
Aug 4, 2017
200
206
Hii kampuni ya huduma za kifedha hovyo kabisa, customer care mbovu hawana limit time ya kushughulikia tatizo la mteja, pesa yangu imekwama kwenye selcom pay zaid ya Miezi sita sasa hawana time na mimi kabisa hawapokei simu, hawajibu hata sms za WhatsApp.

Hawa jamaa hawafai kabisa haiwezekani malalamiko ya mteja wanashindwa kufanyia kazi ndani ya miezi sita kweli?

Naomba anaefaham mahali zilipo ofisi zao nifahamishwe nishachoka kuvumilia niwafuate huko huko wanijibu kama pesa yangu imeshindikana niende moja kwa moja BOT.
 
Ulilipia huduma gani kwa selcom? Funguka ili niweze kukupa ushauri wa sehemu sahihi maana hao Selcom ni aggregator tu.(Gateway).
 
Address zao na kila kitu kiko wazi. Waangalie mtandaoni
Screenshot_20240313-121859.jpg
 
Hii kampuni ya huduma za kifedha hovyo kabisa, customer care mbovu hawana limit time ya kushughulikia tatizo la mteja, pesa yangu imekwama kwenye selcom pay zaid ya Miezi sita sasa hawana time na mimi kabisa hawapokei simu, hawajibu hata sms za WhatsApp.

Hawa jamaa hawafai kabisa haiwezekani malalamiko ya mteja wanashindwa kufanyia kazi ndani ya miezi sita kweli?

Naomba anaefaham mahali zilipo ofisi zao nifahamishwe nishachoka kuvumilia niwafuate huko huko wanijibu kama pesa yangu imeshindikana niende moja kwa moja BOT.
Mbona wako vizuri tu? Wana selcom huduma, email yao ambayo ni autimatic. Wanakutengenezea na TT, na ishu yako ikiisha wanafunga TT. Labda inategemea na kitengo. Mi nipo upande wa fuel (i mean huduma naioata kwa masuala ya fuel)
 
Changamoto ikitokea tatizo hawasolve kwa wakati, nimeripot miez 6 iliyopota mpaka leo kweli? Ukitaka ujue jamaa wako na huduma mbovu pitia comment kwenye kurasa zao za Instagram
 
Back
Top Bottom