Utaratibu wa Jeshi la Polisi kuwaanika wahalifu kwenye Televisheni kwa nini ulifutwa?

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,364
1,037
Miaka ya nyuma jeshi la polisi lilikuwa linawaleta wahalifu mbele ya televisheni. Jambo hili nililipenda sana maana ile ni adhabu tosha kuliko hata kumuweka mhalifu gerezani ambapo Serikali itagharimika kumtunza.

Kwa nini utaratibu uliondolewa kwa kisingizio cha kukiukwa haki za binadamu?

Nonsense in my opinion!
 
Wanaoanikwa ni watoto wa maskini, maharamia maarabu yanalindwa tena kwa kodi zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya nyuma jeshi la polisi lilikuwa linawaleta wahalifu mbele ya televisheni. Jambo hili nililipenda sana maana ile ni adhabu tosha kuliko hata kumuweka mhalifu gerezani ambapo Serikali itagharimika kumtunza.

Kwa nini utaratibu uliondolewa kwa kisingizio cha kukiukwa haki za binadamu?

Nonsense in my opinion!
Wanakua ni watuhumiwa sio wahalifu, Mahakama ndio yenye mamlaka ya kutamka na kuthibitisha kuwa wewe ni jangili au lah
 
Wanafuata ule msemo kwamba wale ni WATUHUMIWA bado.
 
Siku ungeanikwa wewe kwa kesi ya kubambikiwa ndio akili zingekurudia, maana huna akili.

Ina maana hata Jana Rais kapokea report ya haki jinsi hujui chochote kinachoendelea?

Kuna watu hamna matumizi na ubongo.
 
Ule ulikuwa ni utaratibu haramu kwa 100%. Polisi wakimkata mtu, huyo ni mtuhumiwa, wampeleke mahakamani huko polisi na mtuhumiwa wataanikana hadharani.
 
Miaka ya nyuma jeshi la polisi lilikuwa linawaleta wahalifu mbele ya televisheni. Jambo hili nililipenda sana maana ile ni adhabu tosha kuliko hata kumuweka mhalifu gerezani ambapo Serikali itagharimika kumtunza.

Kwa nini utaratibu uliondolewa kwa kisingizio cha kukiukwa haki za binadamu?

Nonsense in my opinion!
Halafu baadae mahakama inampata hana hatia, hizo fidia analipa nani
 
Wanakua ni watuhumiwa sio wahalifu, Mahakama ndio yenye mamlaka ya kutamka na kuthibitisha kuwa wewe ni jangili au lah
Ndipo hapo ninaposimamia mimi. Kama mahakama haijathibisha kosa haifai kumwanika mtu kama mkosaji. But what if mahakama imethibitisa?? Watu hawa waanikwe hadharani iwe adhabu yao ya milele.
 
Wanafuata ule msemo kwamba wale ni WATUHUMIWA bado.
Basi hapo kuna shida. Pendekezo langu: MTU AKISHATHIBITIKA MAHAKAMANI kwamba ni mhalifu AANIKWE WAZI HATA KWA MUMTEM EZA MITAANII KWENYE GARI LA WAZI WATU WAMUONE. Adhabu hii ni kali zaidi ya kumfungia mtu keenye nyumba ( gereza). It is morally challenging.
 
Back
Top Bottom