abdala mbuya
Member
- Jul 20, 2014
- 83
- 9
sawa mkuu, vp hakuna sehem nyingine ya kupimwa DNA? tofauti ma dar?
Kuna medical ethics ambapo hata kama dna hazifanani huyo baba ataambiwa ni wa kwake ili kulinda haki ya malezi ya mtoto. Ndo maana hata kunapogambaniwa mtoto baba mwenye uwezo kifedha ndio huwa anapewa mtoto. Nadhani nimeeleweka.
Mapenzi yamefutika kabisaaaa. Sijawahi mcheat. Mtoto katokea mweupe yeye na wifi zangu wanasema changa la macho. I just want to show them they are wrong na wakati huo ndo bye bye naendelea naaisha yangu. We live only once ya nini kukaa na watu wanaokera.
Go to the court of law and file a suit kwamba baba anakataa mtoto ukiwa na wakili wako moja ya maombi kwa mahakama iwe ni kuruhus vipimo vya DNA then procedure ziendelee.
Hayo mambo yapo, nusura nilee mtoto mtu nashukur sana mama yangu mzazi alikua wa kwanza kukataa kuliko mimi muhusika na alikua sahihi. Nyie wanawake som tym watu wabaya sana ila basi mlituzaa tunawapa heshima zenu.
MullaX
Hakuna hospital ya private au goverment inayopima DNA hapa Tz. Hiyo huduma inatolewa Kwa Mkemia Mkuu wa Serikali pale karibu na hospital ya ocean road. Kuna mambo mengi ya kimaadili (ethical issues) yanatakiwa kuzingatiwa kabla ya kipimo. DNA unaweza kumpima mtu,ukapata siri ya ndugu mwingine ambaye hakutoa consent ya mambo yake kujulikana. Mfano rahisi ni wamarekani walivyopima DNA ya dada yake osama ikawasaidia kujua DNA ya Osama na baadae wakatumia watoto ku confirm alipo obama.Hii technology lazima ithibitiwe Kwa sababu mfano unaweza kujua Siri za ukoo wa mke wako au ndugu zako bila idhini yao mfano uwezekana mkubwa wa kupata magonjwa ya kurithi n.k.
sawa mkuu, vp hakuna sehem nyingine ya kupimwa DNA? tofauti na dar? vp kama mwanamke anang'ang'ania mimba ni yako na co yako 100% DNA haiwezi husika hapa kwenye mimba?
Mkuu embu tupe uzoefu.kuna watu wanasema kila anaepima anaambiwa mtoto ni wako ili kuepusha wingi wa watoto wa mitaani..je kuna ukweli wa hili?Go to the court of law and file a suit kwamba baba anakataa mtoto ukiwa na wakili wako moja ya maombi kwa mahakama iwe ni kuruhus vipimo vya DNA then procedure ziendelee.
Hayo mambo yapo, nusura nilee mtoto mtu nashukur sana mama yangu mzazi alikua wa kwanza kukataa kuliko mimi muhusika na alikua sahihi. Nyie wanawake som tym watu wabaya sana ila basi mlituzaa tunawapa heshima zenu.
MullaX
Mimi ndo mke mwenyewe, mwanaume anamkataa mtoto. Nataka nikate mzizi wa fitna as soon as possible.
Naka boy vipi issue yako na shemeji inaendeleaje? Ulifanikiwa kufanya DNA? Tupe feedbackJamani wadau bado sijapata jib la kueleweka plz any one who know about that
Naka boy vipi issue yako na shemeji inaendeleaje? Ulifanikiwa kufanya DNA? Tupe feedback
Haturusu kupima DNA mpaka kwa amri ya mahakama, yani chanzo kiwe mwanaume huyu na mwanaume yule wanagombea mtoto, lakini sio ugomvi wa mke na mume, sijui sifanani nae, Mungu alimuumba mwanadamu kila mtu na sura yake.
Na sera yetu kama serikali ni kupunguza machokoraa mitaani, hivyo kuruhusu DNA hovyo ni kuruhusu ongezeko la chokaraa, hivyo tutumie tu kauli ya kitanda hakizai haramu, kama kuna mtu amekusaidia kukuzalishia mshukuru maana nayo ni kazi ngumu.