Mwitongo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2009
- 312
- 360
MOd, naleta uzi huu kwenye jukwaa hili la siasa kwa sababu wengi wanapita hapa. Hili jambo ni la dharura, linapaswa kusomwa na wengi ili kuwaokoa na utapeli huu. Naomba usiuondoe
Ndugu zangu, kuna matapeli yamneibuka yanatapeli kweli kweli. Anatumia namba 0716494277 kutapeli. Anachofanya ni kukutajia jina la ndugu au rafiki yako wa karibu. Anasema yupo kwenye semina, hivyo muwasiliane kwa meseji tu. Anasema ana ndugu yake ana matatizo, hivyo asaidiwe kiasi fulani cha fedha (mimi kanitaka nitume sh 35,000), na kwamba baadaye atakurudishia. Anataka fedha hizo zitumwe kwenda namba 0719020710. Kuna watu wengi sana wameshalizwa. Ukikutana na aina hiyo ya ujumbe utambue kuwa unaibiwa!!! Hizi njaa sasa zimevuka mipaka.