asante sana kwa elimu kwa jamii mimi nilikutana na mmoja Mnigeria airport kanichangamkia kweli baada ya muda kaniambia kuwa amezuiliwa
ku board ndege mpaka aonyeshe dollar cash 1000 nikamwambia hiyo haiwezekani coz watu hawatembei na hela nikamwambia twende kwenye customer care tulienda kweli tukaambiwa vile so kaniomba nimpe tuki board tu atanirudishia mhhh machale yakanicheza nikamwambia nakuja kukupa huyooooooooooo nikahama eneo la kusubiria ndege nikaenda pembeni nikasali nikasema Mungu niepushe kwani hawa jamaa wanaweza kutumia hata unga kukupata
Huyu ungeomba picha kibao tu ungeona anakimbia mwenyewe hahahahaha...
Mi kweli, hasa hasa ukijiweka kihasara hasara.
Hata huyu mwanamziki huyu Olumaintan pia anafanya
Mkuu yaani ni heri kuwa makini mana jinsi ujanja wao unavyogundulika ndo wanavyobadili mbini
Mkuu mbona alishatuma hadi picture na hata mimi sinilisha tuma ya kwangu dah!!alimwagika huyooo....
Mimi nilistuka pale aliponitajia hicho kiasi kikubwa cha pesa na kuniomba nimpe account yangu na majina kamili ili ahamishie humo kiasi cha mil 8.5 US $ duh! ni sawa na sh.12.9 Bl ... nikasema hakuna za kirahisi namna hii jombaa na kama zipo nyingi zinamadhara sana.
Sio picha zake hizo mkuu...even usijidanganye hata webcam mzee, siku hizi anakuwekea tu for seconds wanadesign photoshops, then utakubali ni yeye kumbe....hata simu wana divert, yuko Nigeria lkn anakupa number ya UK au USA au nchi yoyote tu....mkuu acha hii kitu iko na ni business watu wana magari nigeria for this...Don Jazzy unamuona sasa ana sign na Kanye West label unadhani mchezo? wana watu working for them kila leo....wana watu all over the world mkuu...10% for any issue given....wewe ungemwambia am runs boys tooo....au ungemuuliza which level?
Dear How are you and work? I hope my email finds you well. Really, it's been some long time since we last communicated but i have been praying and asking the almighty God to keep my life so that one day,I will be able to meet with you because you have shown me care and concern during when i was in need of your assistance. Although i was unable to realize the transaction with you based on the developments then, but I thank the mighty God that all is well now.I am very happy to let you know that the bank has release my money to me through the assistance of Mr.Paul Peterson from UK, he is a kind-hearted man who is now my co-investor and Husband. ARTHUR RICH: I wish to let you know that i am in London with my husband and i send to you draft cheque of $150,000.00 to you and some other families who assisted me very much when i was in terrible situation in Senegal. I have instructed a pastor in charge of Mission Baptist Church in the Refugee Center in Dakar Senegal to send you the cheque, contact him with his address below.I feel this is the only way I could say thank you Stay Bless Yours Jelin Pastor O.John Address.897 rue felix Dakar Senegal pastorjohndakar@yahoo.com Phone 221 76 8573 785 |
Magulumangu mi pia nasoma nao,kweli darasani hawakofiti na atakuomba umsaidie na kweli kwa mshiko utafaidi,alinifundisha jinsi ya kufanya hayo mavitu yaani ni ujanja wa hali ya juu
MIMI WAKATUMA NA PICHA KABSAA
Dearest One,
I am more than happy to give you my details,
How was your day today?.Mine is cold over here in Dakar Senegal due to the weather of hamattan.My name is miss Jelin Maxwell 23yrs old single and never married, i am from Liberia in West Africa and presently i am residing in the camp here in Dakar Senegal as a result of the civil war that was fought in my country.
My late father Dr. Maxwell frank was the managing director of Mabcocoa and Associates (Ltd) and he was also the personal adviser to our former head of state. before the rebels attacked our house one early morning and killed him with my mother in cold blood.
It's only me that is alive now and i managed to make my way to a West African country Senegal where i am living now as a refugee.I would like to know more about you.Your likes and dislikes,your hobbies and what you are doing presently. I will tell you more about myself in my next mail.Attached here is my picture.Hoping to hear
from you.
Yours
Jelin