Utani mwingine bwana: JK kufufua mpango wa kuileta Real Madrid kabla ya uchaguzi ndani ((^^!

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
23,914
23,079
Katika Pitapita yangu huko kwa wataalumu wa Utani, nimemsikia mtaalamu wa kutania watu wa "Bwagamoyo" anasema kuwa JK kamueleza kuwa kutokana na kashi kashi za uandaaji wa Katiba mpya, uvuaji gamba ni bora kuwaleta kwa sasa Real Madrid kabla ya uchaguzi wa ndani ya ((^^! Na Kwa kuwa sasa hivi Real madread wamechukuwa kombe na wana the Special One(Josse) basi mara moja raia watatuliza munkari waliona kwa sasa. Na hii itasaidia kuwaunganisha wana((^^ kwenye uchaguzi.
 
Sikio la kufa halisikii dawa. ((^^ nenda mwana kwenda, tokomea kabisa na gamba lako.
Watu tuko zama za sayansi na teknolojia, tunavaa nguo za pamba na hariri, wao na chama chao cha zamani bado wanavaa magamba.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom