Zao la kwamtogole lazima pumzi izime.Alaaa!!!
Tuachie mwenyeweHahahahahaaa. Wanaume akili zenu bwana
Confidentiality mkuu hadi Nomino?[/QUOT]
Umesemaje ??Alitumia PEP bila kupima.?
Ulizaa huyo mtoto Martha na mmoja wa wadada wa hapo?kaka nilishapata Mtoto mmoja anaitwa Martha she is so beautiful
Yahwewe tulia nyumbani usikiizē taķwimu za maambukïzi katika siku ya ukìmwi dunianìSisi wengine tukae tutulie majumbani, tusikilize mziki. Si kwamba tu waadilifu au washika torati, hatuna nguvu za kurukaruka muda wote. Kila mtu na afanye analoliweza na kulipenda.
Siku hizi imekua kidonge kimoja tu kama wanavyotangaza kwenye redio mzee usioghope...narudia usioghoopeeeARV dose pia sio mchezo..ohooo!!!
Alaaa!!!
Aiseee hii kaliKuna mshikaji kavuta goma hapo 40-40 asubuhi tungi limeisha ndiyo anagundua dem ana mimba ya kukaribia kujifungua
Wozaaaa wapi the great... HahahahKumbe upo nilitaka nikuite
Wozaaaa wapi the great... Hahahah
....ni vileee
....ni vileee
Hilo sio jina lake halisi.kaka nilishapata Mtoto mmoja anaitwa Martha she is so beautiful
Hilo sio jina lake halisi.kaka nilishapata Mtoto mmoja anaitwa Martha she is so beautiful