Herymiller
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 613
- 859
Habari zenu wakuu na wadau wote wa MMU. kama wapaitavyo wenyewe "Tabata kwa wala bata" ni kweli especial kipindi hiki cha vyuma na girisi, kwa hapa Dsm kwa sasa ndio sehemu cheap ya kula kuku na watoto wazuri watafutaji na wapambanaji.
Kuna viwanja kama 40 40 pale bima kupo classic mademu wakali wenye michongo yao wanapendelea kutulia pande zile so mafisi nao wapo wakipiga doria, sometimes mbuzi wanafia kwa wauza supu but all in all bata wanaliwa pande zile pia The great park, kwetu pazuri and mikasa.
Watu baada ya hustle wanakula kuku iwe kwa mtoko, hookup or one night stand.
Nimewapa code wazee wenzangu wa economy class, team tusiopenda kupasuka ila tuna kwangwarua kwa mbali sanaaa.